Chagua wachezaji bora watatu kutoka katika list hii

Chagua wachezaji bora watatu kutoka katika list hii

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hii ni list ya magwiji mbalimbali wa Argentina na Brazil wanaocheza na waliostafu soka. Ukipewa nafasi ya kuchagua tatu bora utawachagua akina nani?

B5DDA390-D4CC-479F-9E7A-DA65A793FA96.jpeg
 
Umemwachia garincha kiungo mwenye mguu mmoja mfupi 6 yahatari aliipa ubingwa wadunia Brazil marambili Pele akiwa anauguza maumivu awamuzote mbili.

Mnywaji mkubwa wapombe kali gongo mpira wagetho hao ndo waliuzisha.
 
Ronaldinho
Ronaldo de Lima
and any other player
 
Nauhakika watu wengi hawamjua mnyama anaeitwa Juan Roman Riquelme nadhani wasingemuacha.

Messi, Riquelme, Ronaldinho.
 
Pele pele pele... Huyu jamaa huyu nilimfatilia ni alikuwa wa sayari ya pekee yake... Nilijaribu kutengeneza kidocumentary chake ila nilikwama kidoogo mwishoni kabisa, ila huyu mzee alikuwa ni fundi, skills, nguvu, ni alikuwa mkamilifu mnoo..

Hapo kuna wachezaji hatari kama wa4 hivi ngumu kumuacha mmoja kati yao.
Messi
Maradona
Ronaldinho
Romario
 
Maradona, Messi, Ronadinho, bonus Pele.

Pamoja kamanda....Tatizo wengine wamekaririshwa, au ndiyo wale wa 95 kuja 2000, hawawajui Diego Maradona wala Alfredo de stefano....waingie basi hata YouTube waone walichokifanya 🤣

Messi
Maradona
Requelme/Alfredo de stefano/Pele/Redondo
 
Back
Top Bottom