Nakutajia game kubwa sababu ni rahisi kuzikumbuka, lakini unaweza pata record zake easy..
Nakuongezea nyingine, michuano ya euro 2012 pirlo alitumika kama deeplying playmaker, ile fainali alianzia chini, wakazidiwa mwalimu akatoa ricardo montonolivo, akatia fundi thiago motta(nae alikuwa anasifa hizo za kucheza nafasi hiyo) ili pirlo asogee juu, bahati haikuwa kwa italy, bahati mbaya motta akaumia msuli na ndio ilikuwa sub ya mwisho kama sikosei, wakacheza pungufu, wakaja kupigwa chuma mbili dk za 80+ hivi.
Misimu mingi tu pirlo alikuwa ni REGISTA
Juzi juzi tu hapa fainali 2015 juve anakufa 3-1 kwa barca, pirlo ni dm mido ni claudio marchisio, mido pogba, juu yao sijui ni vidal yule sikumbuki vizuri.
Kwenye list kuna watu hapo unaweza sema ni CM, hao ni mamido bamia, mido visheti unaweza kusema ni CM, ila wanacheza chini, wanaikamata timu, wanaichezesha timu, wanaiamuru timu.