Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Emerson hakua DMMfano mimi ukiniwekea Pirlo ni huyu mwamba Emerson na mchagua huyu.Mtoa mada amemsahau ila hili jembe lina kazi sio ya kitoto.
View attachment 3089416
Pirlo mzuri kweli,ila kwenye kupokonya mipira,bado wa kawaida,ila Pirlo mzuri sana kwenye kupiga pasi yupo vizuri, faulo,Kona yupo vizuri,ila ile kukichafua pale kati sio kivile.Ndio Maana pale kati AC Milan alikiwa ana saidiwa sana na Gatuso pamoja na Seedorf na Juve alikuwa anasaidiwa na Aturo Vidal.
Bado kuna mashine nyingine
,hiyo Gilberto Silva ile Arsenal ya Invisible mwamba alikuwa haonekani sana wala kuimbwa ila shughuli yake pale kati sio ya kitoto.
View attachment 3089413
Kwa kifupi kwenye hii list kwa mtizamo wangu amekosekana Mascherano, Gilberto Silva na Emerson.
Labda kama nimesahau