makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Sio lineup tu, mpaka majukumu.Gattuso alicheza ipi? But kama position unaangalia jinsi lineup ilivyokaa utapotea
Nisibishe sana maana mechi ya muda mrefu, lakini kwa kipindi hicho DM wa ac Milan alikua nj Gattuso. But inawezekana ilitokea tu kwenye hiyo mechi kama ambavyo Pep aliamua kumchezesha kiungo John stones kwenye final mwaka juzi 2023Sio lineup tu, mpaka majukumu.
Kwenye 4-4-2 diamond formation, pirlo alikuwa DM, gattuso akiwa RM, fundi wa kiholanzi seedorf aliwa RM na RICARDO Ernesto almangungule KAKA kibraza akiwa AM
Pirlo alikuwa ni CM na pia akitumika kama DM, akihudumu kama deep lying playmaker muite REGISTA
Pirlo ambrosi. Gattuso kaka seadord na chenchenko...the famous 4-3-2-1 christmas tree formation ya don carloPirlo kacheza akiwa milan.. Wanacheza diamond formation.
Ilikuwa 4-3-2-1 formation au christmas tree formation.Sio lineup tu, mpaka majukumu.
Kwenye 4-4-2 diamond formation, pirlo alikuwa DM, gattuso akiwa RM, fundi wa kiholanzi seedorf aliwa RM na RICARDO Ernesto almangungule KAKA kibraza akiwa AM
Pirlo alikuwa ni CM na pia akitumika kama DM, akihudumu kama deep lying playmaker muite REGISTA
Nakutajia game kubwa sababu ni rahisi kuzikumbuka, lakini unaweza pata record zake easy..Nisibishe sana maana mechi ya muda mrefu, lakini kwa kipindi hicho DM wa ac Milan alikua nj Gattuso. But inawezekana ilitokea tu kwenye hiyo mechi kama ambavyo Pep aliamua kumchezesha kiungo John stones kwenye final mwaka juzi 2023
Au alipomchezesha Yaya Toure beki wa Kati kwenye final ya 2009
Hapana ni 4-4-2, diamond formation, juu alisimama shevchenko na hernan crespo.Ilikuwa 4-3-2-1 formation au christmas tree formation.
Yes pirlo alicheza kama regista huku seadorf na kaka wakiwa the two trequatistas
Achana na hiyo ya kina crespo. Kuna ile ya pirlo gatusso ambrossini kaka seadord na chenchenko. Ile mpaka kaka anawagonganisha mabeki wa man utd pale old trafford 🤣🤣🤣🤣🤣Hapana ni 4-4-2, diamond formation, juu alisimama shevchenko na hernan crespo.
2007 hiyo kama sikosei, naikumbuka mkuu.Achana na hiyo ya kina crespo. Kuna ile ya pirlo gatusso ambrossini kaka seadord na chenchenko. Ile mpaka kaka anawagonganisha mabeki wa man utd pale old trafford 🤣🤣🤣🤣🤣
Alafu ni ac milan ipi ilifangiwa comeback ya kibabe na delportivo la coruna2007 hiyo kama sikosei, naikumbuka mkuu.
Post 2010, nakubali aliswitch positionNakutajia game kubwa sababu ni rahisi kuzikumbuka, lakini unaweza pata record zake easy..
Nakuongezea nyingine, michuano ya euro 2012 pirlo alitumika kama deeplying playmaker, ile fainali alianzia chini, wakazidiwa mwalimu akatoa ricardo montonolivo, akatia fundi thiago motta(nae alikuwa anasifa hizo za kucheza nafasi hiyo) ili pirlo asogee juu, bahati haikuwa kwa italy, bahati mbaya motta akaumia msuli na ndio ilikuwa sub ya mwisho kama sikosei, wakacheza pungufu, wakaja kupigwa chuma mbili dk za 80+ hivi.
Misimu mingi tu pirlo alikuwa ni REGISTA
Juzi juzi tu hapa fainali 2015 juve anakufa 3-1 kwa barca, pirlo ni dm mido ni claudio marchisio, mido pogba, juu yao sijui ni vidal yule sikumbuki vizuri.
Kwenye list kuna watu hapo unaweza sema ni CM, hao ni mamido bamia, mido visheti unaweza kusema ni CM, ila wanacheza chini, wanaikamata timu, wanaichezesha timu, wanaiamuru timu.
Hiyo hiyo ya kina kaka, gatusso, pirlo, Nesta.Alafu ni ac milan ipi ilifangiwa comeback ya kibabe na delportivo la coruna
Duh! KdB ni kiungo mkabaji?Busquet
Kante
De brune
Alibadilishaje?Sergio Busquets
Alikuja kubadilisha namna nzima ya kiungo mkabaji
Hiyo hiyo ya kina kaka, 2004 ile, san siro anampiga chuma 4-1, anaenda spain anakufa chuma 4 kavu, deportivo anakuja kutoka nusu fainali kwa porto ya mourinho... Ugenini 0-0, nyumbani anakufa 1-0Alafu ni ac milan ipi ilifangiwa comeback ya kibabe na delportivo la coruna
Ilizoeleka viungo wakabaji ni wavunja kuniAlibadilishaje?
Kina roy makay, kulikuwa na mbrazil mmoja jalmninha kama sijakosea. Kocha havier elureta...hatari hiyoHiyo hiyo ya kina kaka, gatusso, pirlo, Nesta.
Naikumbuka hiyo game, Kuna fundi wa deportivo alikua anaitwa Juan Valeron