Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
But nilikua disappointed sana, nilitamani deportivo aende mbele.Hiyo hiyo ya kina kaka, 2004 ile, san siro anampiga chuma 4-1, anaenda spain anampiga chuma 4 kavu, deportivo anakuja kutoka nusu fainali kwa porto ya mourinho... Ugenini 0-0, nyumbani anakufa 1-0
Roy makaay alikua bonge la striker. Na Walter pandianiKina roy makay, kulikuwa na mbrazil mmoja jalmninha kama sijakosea. Kocha havier elureta...hatari hiyo
Tiki taka la Pep lilimfaa sana kumfichia madhaifu yake I.e lack of physical combativeness.Ilizoeleka viungo wakabaji ni wavunja kuni
Mfano: makelele, Gattuso Roy keane, mamadou diarra, edmilson, essien n.k
Lakini yeye alikuja kuwa wa tofauti, very soft na hakabi kwa nguvu ni kucheza kwenye nafasi tu.
1 kante 2kante 3kanteDuh! KdB ni kiungo mkabaji?
Kweli kabisaBusquets jamaa kaleta mapinduzi makubwa sana kwenye hiyo namba so kwangu ndiye namba moja,then Claudio Makelele,halafu Captain Dunga hawa ni aina ya wachezaji wasio onekana, ila wakikosekana ndipo unajua umuhimu wake kwenye timu.
Maisha kiujumla yanahitaji bahati zaidi kuliko chochote kile. Nami tamaa yangu ilikuwa ni kuona monaco anabeba lile kombe, fainali kina morientes hawakufua dafu mbele ya kina calvarhoBut nilikua disappointed sana, nilitamani deportivo aende mbele.
Monaco walikua vizuri sana nao wakanidisappoint kwenye final. Nilikua namkubali Sana Jerome Rothem, sijui kwa nn hakupataga timu kubwa
Hiyo Porto nilikua namkubali sana fundi Carlos Alberto, alikua na style ya kuweka plasta puani. Nae hakupataga bahati ya kwenda timu kubwa
Nakuelewa. Naelewa pia utata wa namna Pirlo na Gattuso walivyotumika. Coz historia inaeleza na kuweka wazi kuwa GG alikuwa mkabaji hatari sana.Nitakueleza kwa uelewa wangu, japo naweza nisiwe sahihi sana
Pirlo alikua central midfielder, kwenye hii position kuwa yule anakua more of attacking na yule anakua more of defensive.
Pirlo hakuwa natural defensive, ndio maana unaona kwa miaka zaidi ya 10 aliyokaa Ac Milan defensive alikua ni Gattuso.
Lakini zipo mechi Pirlo aliswitch kama defensive,na hii ilikuja baadae na pengine ni sababu ya influence ya Busquets, maan ilionekana defensive sio lazima atumie nguvu na kukaba sana. Pia Pep ndio alikuja kuiweka sawa hii kitu tofauti na dhana iliyokuwepo. Uliona hata Bayern kule alimbadilisha hadi beki wa pembeni Joshua Kimmich na kumuweka namba 6
Man city pia zipo mechi nyingi tu anammchezesha Rico Lewis kama namba 6
Utofauti wao ni upi boss? Taja utofauti mkubwa na si mdogo coz kila mchezaji ni tofauti na mwenzake hata kama wanacheza nafasi moja.Style ya Pirlo na Busquets ni tofauti.
Ndio maana nilitamani watu wampe heshima Pirlo japo Sergio nae anastahili heshima yake. Ni kama wanaouona mpira sasa wanaamini Busquets ndie mtu wa kwanza kufanya anachofanya kwa ubora.Pirlo kacheza akiwa milan.. Wanacheza diamond formation.
Hajavunjiwa heshima na ndio maana ya hiyo Rank, wote hamuwezi kuwa namba moja ndio maana kuna moja mpaka kumi.Ndio maana nilitamani watu wampe heshima Pirlo japo Sergio nae anastahili heshima yake. Ni kama wanaouona mpira sasa wanaamini Busquets ndie mtu wa kwanza kufanya anachofanya kwa ubora.
Labda nimeiweka kwenye namna isiyoeleweka kirahisi kidogo. Ila sijasema kwamba amevunjiwa hshima. Ila ni kama watu wengi wa mpira hawajui au kumpa heshima Pirlo katika role aliyocheza.Hajavunjiwa heshima na ndio maana ya hiyo Rank, wote hamuwezi kuwa namba moja ndio maana kuna 1 mpaka kumi.
Ninavyoelewa mie kwa italia kuna positions mbili kuu...regista na trequatista. Regista anacheza chini na trequatista ni namba kumi.Nakuelewa. Naelewa pia utata wa namna Pirlo na Gattuso walivyotumika. Coz historia inaeleza na kuweka wazi kuwa GG alikuwa mkabaji hatari sana.
Ila, katika mechi tuliona matumizi ya Pirlo yalivyokuwa. Wakati mwingi angecheza juu ya mabeki wa kati na General Rhino angekuwa anachafua zaidi juu yake.
Nimefurahi kuona wakongwe kadhaa wakiweka mambo sawa kwa rekodi na kumbukumbu murua hasa za mechi za CL.
Hivyo tunaweza kusema Busquets atapewa heshima kwa kustahimili role hiyo kwa muda mrefu ila wapo watu ambao walishafanya hayo kabla yake na kwa ustadi mkubwa kama Andrea.. Wakongwe mzabzab makaveli10 tuondoleeni utata.
Mfano mimi ukiniwekea Pirlo ni huyu mwamba Emerson na mchagua huyu.Mtoa mada amemsahau ila hili jembe lina kazi sio ya kitoto.Labda nimeiweka kwenye namna isiyoeleweka kirahisi kidogo. Ila sijasema kwamba amevunjiwa hshima. Ila ni kama watu wengi wa mpira hawajui au kumpa heshima Pirlo katika role aliyocheza.
Morientes alikua striker wa kawaida tu, sikuwahi kumuelewa. Huo msimu aliuotea tu ndio maana aliporudi Madrid alipoteaAisee morientes alikuwa ni balaa