Chagua wachezaji watatu ambao ni viungo wakabaji (CDM) bora wa muda wote?

Emerson hakua DM
Labda kama nimesahau
 
Sidhani hata Sergio kwenye kukichafua alikuwa master. Ila upekee wao kwa namna ya kuitoa timu nyuma ndio umewapa heshima waliyonayo.

Wazee wa kukichafua kama akina Genaro, Claude, Roy, Gilberto, Emerson, Javier n.k nao wanapepo yao kaka.
 
Sidhani hata Sergio kwenye kukichafua alikuwa master. Ila upekee wao kwa namna ya kuitoa timu nyuma ndio umewapa heshima waliyonayo.

Wazee wa kukichafua kama akina Genaro, Claude, Roy, Gilberto, Emerson, Javier n.k nao wanapepo yao kaka.
Sergio na Pirlo, Sergio yupo vizuri kuliko Pirlo kwenye kukichafua. Ndio maana Busquets hanaga mambo mengi, baada ya kupora mpira.
 
Unajua pirlo hii haikua namba yake halisi aliswitch mwishoni. Kuna press moja alifanyaga Ancelotti japo sikumbuki lini lakini alikua akizungumzia jinsi alivyokuja kumbadilisha pirlo na kumsitch kwenye holding midfield.

Busquets ni natural DM, kutokana na aina ya wachezaji waliokua DM kabla yake ndio inafanya mm namrate juu kwenye hiyo nafasi. Ndio maana unaona hata kiungo mgumu kabisa mascherano ilibidi awe beki wa kati, hii kuonyesha kuwa sasa nafasi ya namba 6 sio lazima uwe mgumu na kukaba sana. Watu wanawazungumza sana Xavi na Iniesta, lakini walifanya Yale yote sababu ya uwepo wa sergio pale chini yao.

Hata hivyo heshima pia kwa Pirlo
 
Shida ya watu wengi ni kumuona Genaro pembeni ya Pirlo huku wakisahau kuwa Andrea alikuwa akicheza chini zaidi ya Genaro.

Ila kwa namna ulivyotukumbusha kwanini Genaro na watu kama Marchisio kuwa pembeni ya Andrea ni wazi umeondoa matongotongo kadhaa katika hili. Kama kuna kilichobaki wengine watajazia.
 
Ndio maana nilitamani watu wampe heshima Pirlo japo Sergio nae anastahili heshima yake. Ni kama wanaouona mpira sasa wanaamini Busquets ndie mtu wa kwanza kufanya anachofanya kwa ubora.
Mpira haujaanza jana wala juzi, vitu vinatokea hivi karibuni basi huko nyuma vishatokea, kuanzia tiktaka, false 9, na mazagazaga mengine, ukiona kwenye uzao wako haimaanishi haikuwepo.
Katika nafasi hiyo binafsi pirlo namkubali zaidi, sisemi busqueta mbovu, ila pirlo kwangu ni balaa, ahort passes, long passes, kaonesha akiwa na timu tofauti tofauti.
 
Wachezaji kariba ya Busquets walikuwepo(maDM wanyumbulifu) wapo toka enzi za kina pele, kina redondo hao, xabi alonso, falcao.. Kuna mido moja ilicheza brazil ya kina pele, niliiona nikiwa natizama game za nyuma huko, aisee ni kiungo wa chini lakini ni mido bamia mido kisheti, anasambaza upendo hatari..

Katika kila namba basi kuna kaliba fulani ya mchezaji, sababu tumeumbwa hivyo mafanikio au kutokufanikiwa ni kesi nyingine, wazee wa udambwi dambwi waburudiahaji wapo toka enzi hizo.
Namba 9 ya halland, aio ya thierry Henry wala sio ya aguero, cesc fabregas sio steven Gerrard, 10 ya ozil sio dennis bergkamp, ukifatilia utakuta dennis berkgamp uchezaji wake una watu wake. Na kila mchezaji anatumika na mwalimu anavyotaka kwa mchezaji, ndio maana si ajabu kuja mwalimu akakuambia chama hanifai..
 
Unachokisema si wengi wanakielewa. Watu husema Pep ndie alikuwa wa kwanza kuleta role hiyo kwa kuja na Sergio na ndio maana nikataka watu wengi waelewe ulilolisema vyema. Hasa katika hii erra ambapo mengi yaliweza kuonekana katika TV kwa ubora. Binafsi mimi nakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…