wewe wacha upimbi CCM haina haja na kura weweUchaguzi huu Tundu Lissu alitumia muda mwingi kuwakatisha watu tamaa wasiiamini tume. Ndio maana wafuasi wengi wa Chadema hawajapiga kura na Chadema imeshindwa vibaya.
Chaguzi zijazo itategeme na jinsi kauli za wagombea zitakavyokuwa. Kama wapinzani wataendelea kukatisha watu tamaa kupiga kura, watu wachache watapiga kura, lakini CCM itaendelea kushinda kwa kishindo kwa kuhamasisha wafuasi wake wakapige kura.