Chahali amtuhumu Martin Maranja Masese kuwa ni “mtu wa system”

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Katika majibizano yao huko X zamani Twitter, Martin alimshauri Evarist Chahali arudi Tanzania kuendeleza harakati za kupambanna dhidi ya CCM na sio kubeza na kuwaita Chadema waoga.

Evarist Chahali nae akamjibu Martin, mbona yeye Martin hajarudi kitengoni TISS?

Watu wakaanza kuhoji, kwanini Martin huwa akamatwi tangu utawala wa awamu ya sita uingie madarakani? Raia wameamini kuwa Martin ni kama double agent.

IMG_4581.jpeg
 
Mbowe ni TISS pia. Kamwe hawezi achia uenyekiti wa tawi la CCM. Yale maneno ya makonda kuhusu vikao vyake na mbowe ni ukweli.
Inakuuma nini Mbowe kutoachia uenyekiti; vyama vipo 19 na pia unaweza kuanzisha chako lakini unaing'ang'ania CDM tu..
Watu bila aibu wamekazana tu eti CDM haitaki ushauri kwani walikwambia wana shida na ushauri?

Toa maoni pita nenda zako kama kuna mtu ana shida na maoni atayachukua.
Wote wanaolalama kuhusu Mbowe wako katika mradi wa kuibomoa CDM.
 
Bhahahahaa, chawa hii imekuuma eeh?
 
Inakuuma nini Mbowe kutoachia uenyekiti; vyama vipo 19 na pia unaweza kuanzisha chako lakini unaing'ang'ania CDM tu..
Watu bila aibu wamekazana tu eti CDM haitaki ushauri kwani walikwambia wana shida na ushauri?

Toa maoni pita nenda zako kama kuna mtu ana shida na maoni atayachukua.
Wote wanaolalama kuhusu Mbowe wako katika mradi wa kuibomoa CDM.
Unajua ni kwa nini kuna ukomo wa vipindi kwenye uongozi? Mbowe amekaa kwenye madaraka miaka 20 na bado anataka kuongoza iwe 25! Hiki ni kituko kwa zama hizi. Haya mambo yalikuwa common enzi za kina Nyerere lakini siyo sasa. Huyu akibahatika kuwa rais si atabadilisha katiba awe rais wa maisha? Na pia........ CHADEMA ni chama cha umma, bila wananchi na mashabiki, na wanachama wake hakitakuwepo. Wacha watu watoe maoni na Mbowe anatakiwa kupumzika.
 
Back
Top Bottom