Chahali amtuhumu Martin Maranja Masese kuwa ni “mtu wa system”

Chahali amtuhumu Martin Maranja Masese kuwa ni “mtu wa system”

Mimi niliacha kuwa na imani na wanaharakati baada ya kigogo2014 kupiga U-turn matata 2022.

Mimi ninaamini wananchi bila itikadi za vyama ndio watakuja kulazimisha hadi serikali itakubali kuleta katiba mpya na wataitoa madarakani serikali dhalimu.

X ulishaonekana ndio mtandao tishio kwa serikali nyingi hadi viongozi wengi wanajitoa au kufunga comments.

Kuna mtu alikuwa anagawa pesa kule na watu wanaweka details zao hovyo kumbe wanajiexpose kwa mtu ambaye anatumika na serikali na lengo la kujifanya anagawa pesa ni kujenga ukaribu na kuwa na interaction na account nyingi ili imrahishie kupata taarifa nyingine na aonekane ni "genuine" vijana wa siku hizi wanasema "huna baya"

Huwa nawaangalia naishia kucheka.
 
Katika majibizano yao huko X zamani Twitter, Martin alimshauri Evarist Chahali arudi Tanzania kuendeleza harakati za kupambanna dhidi ya CCM na sio kubeza na kuwaita Chadema waoga.

Evarist Chahali nae akamjibu Martin, mbona yeye Martin hajarudi kitengoni TISS?

Watu wakaanza kuhoji, kwanini Martin huwa akamatwi tangu utawala wa awamu ya sita uingie madarakani? Raia wameamini kuwa Martin ni kama double agent.

Haijawahi kuwa dhambi kwa mtu kuwa TISS, dhambi ni kitengo na majukumu uliyopangiwa na lengo lako la kuwa huko.
'Agent' Masese is far better na mtu sahihi kwa CHADEMA kuliko dier harders wengi.
Hujui kuna TISS wanapambana kuimarisha upinzani na kuja na mbini ya kuitoa CCM lakini huzidiwa kete na TISS wenzao sababu tu wenzao either ni wengi or are more powerful?
 
Hata yule alipigwa risasi tetesi alikahidi amri ya amiri jeshi mkuu..... Tetesi lakini
Basi kila mtu ni mtu ya system inji hii !
Hiyo haina shida kwa sababu inji itakuwa salama sana kama ambavyo imekuwepo kwa miaka mingi !

Lakini vipi Mali za Inji zinaangaliwa kweri kweri ???!
Ukihoji kuhusu Mali za Inji kutapanywa na kumezwa na wajanja wachache unashughulikiwa fasta maana unaonekana wewe sio mwenzao 😳🙄🙌🤦🏽‍♂️

Mbinguni tutafika tumechoka sana
Mubadilike Bandugu !! 🙏🙏
 
Haijawahi kuwa dhambi kwa mtu kuwa TISS, dhambi ni kitengo na majukumu uliyopangiwa na lengo lako la kuwa huko.
'Agent' Masese is far better na mtu sahihi kwa CHADEMA kuliko dier harders wengi.
Hujui kuna TISS wanapambana kuimarisha upinzani na kuja na mbini ya kuitoa CCM lakini huzidiwa kete na TISS wenzao sababu tu wenzao either ni wengi or are more powerful?

Inawezekana kweli kama kweli wapo nyutro kwenye mivyamavyama 😳
Kwani kuna mtu anaweza akaajiri wafanyakazi wa Shambani kwao kisha waje wawaondoe pale Shambani kwao ?????????!!
Hii ni Lugha gongana 🧐👍😅 !
 
Kuna maneno humu siyaewi mtu ayafafanue
1. TISS
2. MTU WA SYSTEM
3. DOUBLE AGENT
Hapa mnamaanisha nini ili mada niende nayo sawa na nichangie hoja
 
Unajua ni kwa nini kuna ukomo wa vipindi kwenye uongozi? Mbowe amekaa kwenye madaraka miaka 20 na bado anataka kuongoza iwe 25! Hiki ni kituko kwa zama hizi. Haya mambo yalikuwa common enzi za kina Nyerere lakini siyo sasa. Huyu akibahatika kuwa rais si atabadilisha katiba awe rais wa maisha? Na pia........ CHADEMA ni chama cha umma, bila wananchi na mashabiki, na wanachama wake hakitakuwepo. Wacha watu watoe maoni na Mbowe anatakiwa kupumzika.
Pamoja na muda mrefu bado watu wanamuogopa Mbowe kisiasa. John Momose Cheyo ni mwenyekiti wa chama cha UDP miaka kabla ya Mbowe zaidi ya 30 hadi leo. Mrema alikuwa TLP mpaka anafariki, sikuwahi kusikia wakizungumzwa hata kutajwa waondoke. Sometimes Mbowe aweza kuwa mamluki, sawa, ila kumumshambulia yeye tu huku wengine wakiachwa, tafsiri yake ana nguvu kuwashinda wengine. Sababu kama ni U-TISS hata hao wengine nao waweza kuwa pia.
 
Back
Top Bottom