Mbowe hatapumzika uongozi kwa shinikizo la wasio wanachama. Kama Kuchokwa kama unavyodai maana yake hao wanachama wa CHADEMA unaodai wanemchoka watamuondoa kwa njia ya kura, lakini kama watamchagua tena maana yake hawajamchoka.Unajua ni kwa nini kuna ukomo wa vipindi kwenye uongozi? Mbowe amekaa kwenye madaraka miaka 20 na bado anataka kuongoza iwe 25! Hiki ni kituko kwa zama hizi. Haya mambo yalikuwa common enzi za kina Nyerere lakini siyo sasa. Huyu akibahatika kuwa rais si atabadilisha katiba awe rais wa maisha? Na pia........ CHADEMA ni chama cha umma, bila wananchi na mashabiki, na wanachama wake hakitakuwepo. Wacha watu watoe maoni na Mbowe anatakiwa kupumzika.
Kama kuna mgombea anaungwa mkono aingie ulingoni lakini Mbowe hatamuachia mtu kiti kama zawadi.