Hapa umeongea pumba. Mbowe hajavunja katiba kugombea uenyekiti. Demokrasia sio kumpisha mtu uongozi bali ni kupigiwa kura na kushinda.Unawaza na kuongea kwa ghadhabu, nini tatizo?
Wenye kuhoji uMseveni wa Mbowe kwenye Cdm, wana hoja na wanastahili majibu ya kisayansi kuwafulfill.
Kila jambo duniani huwa lina mkondo wake.
Kama chama na maudhui ya katiba yake ni demokrasia, basi wadau wana haki ya kuhoji kiongozi wao kusigina msingi wa katiba.
Hizo zako, diyo akili za kutekana na kuuana hizi, mtu anapohoji ama kusema ukweli wa jambo fulani, anavishwa hatia ama lawama, why?
Nyinyi mnaotaka Mbowe amposhe Lissu ndio mnaopinga katiba.
CHADEMA kitaendelea kuwa chama pekee cha kweli cha upinzani Tanzania, kamwe hamtafanikiwa kukichuuza ili mkiue.