Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanabadili chombo...Usijeshangaa!Mi nitajua Kesho kutwa.
Kumbe hata mimi😂Kila mtanzania ni "mtu wa system" ila inategemea kitengo ulichopo kama kina maokoto au ni walalahoi
Watanzania bado wana nadharia ya ujasusi wa enzi za vita baridiNasikia hata ukiwa chawa wa mama tayari ni kitengo
Hata wewe ni sehemu ya usalama wa taifaKumbe hata mimi😂
Vipi Mbowe hanunuliki kirahisi? Je, kwa tamko la Lissu jana linalofanana na la Zitto kipindi kile, nae amefika bei? Ahahahahaha!!!Zitto ananunulika kirahisi sana
Wabongo kweli mabwegeNdio unajua Leo?
Nyumba kumi za wazito au Nyumba kumi za walalahoi 😳🙄🙌👍Kila nyumba 10 ni TISS, sasa itategema ni TISS ya nyumba 10 ipi?
Haijawahi kuwa dhambi kwa mtu kuwa TISS, dhambi ni kitengo na majukumu uliyopangiwa na lengo lako la kuwa huko.Katika majibizano yao huko X zamani Twitter, Martin alimshauri Evarist Chahali arudi Tanzania kuendeleza harakati za kupambanna dhidi ya CCM na sio kubeza na kuwaita Chadema waoga.
Evarist Chahali nae akamjibu Martin, mbona yeye Martin hajarudi kitengoni TISS?
Watu wakaanza kuhoji, kwanini Martin huwa akamatwi tangu utawala wa awamu ya sita uingie madarakani? Raia wameamini kuwa Martin ni kama double agent.
Basi kila mtu ni mtu ya system inji hii !Hata yule alipigwa risasi tetesi alikahidi amri ya amiri jeshi mkuu..... Tetesi lakini
Mpaka kwenye magenge ya Kahawa na Komoni wapo 😂😅😀Dodoma mjini kila mtu anasema nae wa System, 😅
Of course ! 🤩Kumbe hata mimi😂
SawaFafanua zaidi
Haijawahi kuwa dhambi kwa mtu kuwa TISS, dhambi ni kitengo na majukumu uliyopangiwa na lengo lako la kuwa huko.
'Agent' Masese is far better na mtu sahihi kwa CHADEMA kuliko dier harders wengi.
Hujui kuna TISS wanapambana kuimarisha upinzani na kuja na mbini ya kuitoa CCM lakini huzidiwa kete na TISS wenzao sababu tu wenzao either ni wengi or are more powerful?
Pamoja na muda mrefu bado watu wanamuogopa Mbowe kisiasa. John Momose Cheyo ni mwenyekiti wa chama cha UDP miaka kabla ya Mbowe zaidi ya 30 hadi leo. Mrema alikuwa TLP mpaka anafariki, sikuwahi kusikia wakizungumzwa hata kutajwa waondoke. Sometimes Mbowe aweza kuwa mamluki, sawa, ila kumumshambulia yeye tu huku wengine wakiachwa, tafsiri yake ana nguvu kuwashinda wengine. Sababu kama ni U-TISS hata hao wengine nao waweza kuwa pia.Unajua ni kwa nini kuna ukomo wa vipindi kwenye uongozi? Mbowe amekaa kwenye madaraka miaka 20 na bado anataka kuongoza iwe 25! Hiki ni kituko kwa zama hizi. Haya mambo yalikuwa common enzi za kina Nyerere lakini siyo sasa. Huyu akibahatika kuwa rais si atabadilisha katiba awe rais wa maisha? Na pia........ CHADEMA ni chama cha umma, bila wananchi na mashabiki, na wanachama wake hakitakuwepo. Wacha watu watoe maoni na Mbowe anatakiwa kupumzika.