Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Wewe ulikuwa mpishi wa Kitine.Mbowe alikuwa Mlinzi wa Gavana wa Biotii 😂😂
Inakuuma nini Mbowe kutoachia uenyekiti; vyama vipo 19 na pia unaweza kuanzisha chako lakini unaing'ang'ania CDM tu..Mbowe ni TISS pia. Kamwe hawezi achia uenyekiti wa tawi la CCM. Yale maneno ya makonda kuhusu vikao vyake na mbowe ni ukweli.
Mi nitajua Kesho kutwa.Ndio unajua Leo?
Bhahahahaa, chawa hii imekuuma eeh?Inakuuma nini Mbowe kutoachia uenyekiti; vyama vipo 19 na pia unaweza kuanzisha chako lakini unaing'ang'ania CDM tu..
Watu bila aibu wamekazana tu eti CDM haitaki ushauri kwani walikwambia wana shida na ushauri?
Toa maoni pita nenda zako kama kuna mtu ana shida na maoni atayachukua.
Wote wanaolalama kuhusu Mbowe wako katika mradi wa kuibomoa CDM.
Unajua ni kwa nini kuna ukomo wa vipindi kwenye uongozi? Mbowe amekaa kwenye madaraka miaka 20 na bado anataka kuongoza iwe 25! Hiki ni kituko kwa zama hizi. Haya mambo yalikuwa common enzi za kina Nyerere lakini siyo sasa. Huyu akibahatika kuwa rais si atabadilisha katiba awe rais wa maisha? Na pia........ CHADEMA ni chama cha umma, bila wananchi na mashabiki, na wanachama wake hakitakuwepo. Wacha watu watoe maoni na Mbowe anatakiwa kupumzika.Inakuuma nini Mbowe kutoachia uenyekiti; vyama vipo 19 na pia unaweza kuanzisha chako lakini unaing'ang'ania CDM tu..
Watu bila aibu wamekazana tu eti CDM haitaki ushauri kwani walikwambia wana shida na ushauri?
Toa maoni pita nenda zako kama kuna mtu ana shida na maoni atayachukua.
Wote wanaolalama kuhusu Mbowe wako katika mradi wa kuibomoa CDM.