Chahali amtuhumu Martin Maranja Masese kuwa ni “mtu wa system”

Mbowe hatapumzika uongozi kwa shinikizo la wasio wanachama. Kama Kuchokwa kama unavyodai maana yake hao wanachama wa CHADEMA unaodai wanemchoka watamuondoa kwa njia ya kura, lakini kama watamchagua tena maana yake hawajamchoka.

Kama kuna mgombea anaungwa mkono aingie ulingoni lakini Mbowe hatamuachia mtu kiti kama zawadi.
 
Zitt, MMM na wengine wachache ni watu wa system. Mbow sio system ila ni mtu wa 💶💰💹💵 ndo maana wanaendana na chama cha majani.

Nimecheka sana hapo kwa Mbowe.

Kifupi Mbowe ni mfanyabiashara na muda wote kwake ni business, CDM sio dili saana kwake natukafikiri jamaa yuko serious kiviiile na siasa, yeye siasa kwake ni biashara.

Kingine wengi wasichojua, CDM chini ya Mbowe ni bargain chip ya matycoon wa kichaga dhidi ya CCM na System.

Tatizo la Lissu alikuwa serious akifikiri wenzie wako serious kama yeye, amekuja kugundua it's too late, amebaki mwenyewe na followers wasio na nguvu.
 
Kuna watu wanadhani bila wafuasi watatumu. Wakaulize TLP na CUF vimepotelea wapi.
 
Tufanye hivyo na kwa Rais. Kama wananchi wanamchagua tena na tena basi aendelee!
 
Wacha wauane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…