Chahali amtuhumu Martin Maranja Masese kuwa ni “mtu wa system”

TISS huwa wanarekodi matukio na taarifa zote kwa uzito wake na precisely

MMM amekuwa akitoa data zake very accurate and precisely mpaka najiuliza huyu mtoto wa juzi hapa anatoa wapi data zake ambazo nyingi hazipo kwenye internet? Kumbe anachukua kutoka archives za TISS

Nchi hii, serikali inaamini wananchi wote ni mbumbumbu
 
Inawezekana kweli kama kweli wapo nyutro kwenye mivyamavyama 😳
Kwani kuna mtu anaweza akaajiri wafanyakazi wa Shambani kwao kisha waje wawaondoe pale Shambani kwao ?????????!!
Hii ni Lugha gongana 🧐👍😅 !
Moja kati shughuli za TISS ni kuwezesha mambo fulani kwa maslahi ya taifa.
Amini nakwambia, katika hizo teuzi zao kuna siku vitaingia vichwa pale ambavyo vyenyewe vinaangalia taifa zaidi.

Kuna TISS wapo upinzani siyo kwa lengo la kuwahujumu bali kuwaimarisha. Ikifikia siku taarifa za recruitments zikaonyesha mafanikio, siku hiyo Serikali itaachiwa iende upinzani.

Bahati mbaya ni kwamba, wakati kuna TISS na wanausalama wengine wanaujenga upinzani, wakati huohuo CCM nayo hailali, inawatumia vijana wake wa waliopo TISS kuhujumu jitihada za TISS wenzao.

Vifo vya watu kama akina Mzee Kibao ni matokeo dhahiri ya hujuma hizo za TISS wa CCM.

TISS siyo wabaya kama watu wanavyo wachukulia, ila kuna 'gang' ndani ya TISS.

Mtu kama Mdude Nyangali nina uhakika kabisa kuwa ameshakuwa recruited. Ila itategemea na handler wake amepanga kumtumia wakati gani na kwa lipi. Wengine huwa recruited ili kuwalinda.

Binafsi nikimuangalia Msigwa na safari yake ya kwenda CCM siuoni kabisa uhalisia, ila ni jambo jema kwamba kuna kitu kinafanyika.
 
Vyama vyooote vya Nchi hii ni sare sare maua ila ukiondoe Chama cha Mzanaki peke yake ! Kwa wakati ule !

Kukaa sana madarakani sio tatizo kubwa bali tatizo kubwa unakaa pale kwa nia ipi ???!!!

Kwa nia ya kuwasaidia watu woooote wa Nchini mwako au ni kwa sababu zaidi ya watu wako tu ???!!!
Je ni Utajirisho na kula Bata tu ???!!!
Maswali ni mengi na mengi hayana majibu 😳🙄🙌 !
 
Umenena !
Let’s hope for the best !
And let us pray for our lovely Country !
Always good people are there and also rogue people are there too 🙄😳🙏🙏
 
Hicho kitu hakipo Misingi ya vijana kuwa huko sio kuiwezesha upinzani kuchukua dola ila kuhakikisha Kila kinachoendelea huko mamlaka inajua iwe kwa maslahi mapana ya nchi au maslahi ya Rais.
 
Twiter kule 90% ni mashushushu tu Lissu, Lema, Boniface jacob,Fatuma karume, shangazi Maria, Zitto, Martin, chahali,Kigogo, Mbowe,Mnyika, malisa, cyro, Yeriko wote ni watumishi tofauti ni majukumu tu.

Taifa ili liwe salama linahitaji kila raia mwenye title awe informer.
 
Hicho kitu hakipo Misingi ya vijana kuwa huko sio kuiwezesha upinzani kuchukua dola ila kuhakikisha Kila kinachoendelea huko mamlaka inajua iwe kwa maslahi mapana ya nchi au maslahi ya Rais.
Sijui kama hata unaelewa unacho argue. Ngoja nikuache
 
Unawaza na kuongea kwa ghadhabu, nini tatizo?

Wenye kuhoji uMseveni wa Mbowe kwenye Cdm, wana hoja na wanastahili majibu ya kisayansi kuwafulfill.

Kila jambo duniani huwa lina mkondo wake.

Kama chama na maudhui ya katiba yake ni demokrasia, basi wadau wana haki ya kuhoji kiongozi wao kusigina msingi wa katiba.

Hizo zako, diyo akili za kutekana na kuuana hizi, mtu anapohoji ama kusema ukweli wa jambo fulani, anavishwa hatia ama lawama, why?
 
💭
 
Anataka kuniambia mdude anaajiriwa na TISS
Wapo watu ambao huweza kutumiwa na hao jamaa kwa namna yeyote ile bila wao wenyewe kujua kuwa wanatumiwa tu na hao Wajanja !!

Kuajiriwa au kutoajiriwa hiyo ni ngumu kujua, nadhani sometimes hata wao wenyewe kwa wenyewe huwa hawajuani !

Ile kazi ina watu wenye Akili kubwa sana !!
Sio kama hizi Akili zetu za Ubaya Ubwela wa Simba na Yanga mitaani 😂😂🧐

Au nasema uongo ndugu zanguni ???! 😀🙌👍
 
Mbowe ni TISS pia. Kamwe hawezi achia uenyekiti CCM tawi la Demokrasia na Maendeleo. Yale maneno ya makonda kuhusu vikao vyake na mbowe ni ukweli.

Wavamizi wa tawi (akina Lissu) hawana chao. Nawao wafungue matawi yao.
Hii niliambiwa na mtu mkubwa kabisa kwamba fadhila ya Nyerere kwa Mzee Mbowe ni kuwaingiza watoto wa mzee mbowe kwenye system ndugu wengi wa mbowe wako Jeshini tena vitengo nyeti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…