Chahali amtuhumu Martin Maranja Masese kuwa ni “mtu wa system”

Hapa umeongea pumba. Mbowe hajavunja katiba kugombea uenyekiti. Demokrasia sio kumpisha mtu uongozi bali ni kupigiwa kura na kushinda.

Nyinyi mnaotaka Mbowe amposhe Lissu ndio mnaopinga katiba.

CHADEMA kitaendelea kuwa chama pekee cha kweli cha upinzani Tanzania, kamwe hamtafanikiwa kukichuuza ili mkiue.
 
Mwanzo kabisa alipokuwa Rais kwa kurithi kiti tulikubaliana kuwa afanye jitihada ya kuiua CCM ki vyovyote vile tofauti na hapo baada ya utawala wake Zanzibar itapata tabu sana.
 
N
Mwanzo kabisa alipokuwa Rais kwa kurithi kiti tulikubaliana kuwa afanye jitihada ya kuiua CCM ki vyovyote vile tofauti na hapo baada ya utawala wake Zanzibar itapata tabu sana.
Nimeshindwa kukuelewa 😅
 
Ni mhimu mbowe aendelee maana ye ndo imili mikiki yote kutoka kwa wapinzani wake,na mwingine ni lissu lkn asubiri kidogo mwenzake amalize japo ten years.
 
Lisu angeenda tu chauma
Acha madharau

WaTz tuna safari ndefu ya kujikomboa
Mbowe ameongoza miaka mingi ni press conference tuuuuuuu hakuna ukombozi
Tutaishi hivi mpaka lini?

Wananchi wanaumizwa mpo humu kupiga tarumbeta.
 
Acha madharau

WaTz tuna safari ndefu ya kujikomboa
Mbowe ameongoza miaka mingi ni press conference tuuuuuuu hakuna ukombozi
Tutaishi hivi mpaka lini?

Wananchi wanaumizwa mpo humu kupiga tarumbeta.
Tolka kwenye key board typing uingie barabarani kama kweli unataka kujikomboa.
 
Acha madharau

WaTz tuna safari ndefu ya kujikomboa
Mbowe ameongoza miaka mingi ni press conference tuuuuuuu hakuna ukombozi
Tutaishi hivi mpaka lini?

Wananchi wanaumizwa mpo humu kupiga tarumbeta.
Wewe umefanya nini zaidi ya kutukana watu jamii forum?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…