Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Dear Mama @SuluhuSamia naambiwa watu wanatorosha madini kama "hakuna kesho." Na wala hakuna usiri kwenye wizi huo. Mamlaka husika zinafahamu kinachoendelea lakini ndo hivyo, sekta ya madini imegeuzwa #ShambaLaBibi. Unfortunately, ufisadi umerudi kwa kasi ya upepo wa kisulisuli

Madini.JPG
 
Kwanini kila siku watu wanalalamika tu kuhusu wizi wa madini?

Ni wakina nani hao wanaotorosha madini wanaonekana lakini vyombo vya usalama vipo kimya?

Au wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa wa serikalini?

Haiwezekani Rais, mawaziri, na watu binafsi wote wanalia, hili taifa linachekesha.
 
Kwanini kila siku watu wanalalamika tu kuhusu wizi wa madini?

Ni wakina nani hao wanaotorosha madini wanaonekana lakini vyombo vya usalama vipo kimya?

Au wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa serikalini?

Haiwezekani Rais, mawaziri, na watu binafsi wote wanalia, hili taifa linachekesha.
Mama anaupiga mwingi.
 
Huyo Chahali aache wivu na umbeya.
Kwani Samia hajui kuwa madini yanatoroshwa?
Kwani wanaotorosha madini hawajuani na Samia?

Kama serikali ni zao la wizi, bunge ni zao la wizi, mahakama ni kichaka cha wezi na polisi ndio wezi wenyewe, nini cha ajabu kama watu hao hao wataiba rasimali za taifa chini ya mwamvuli wa CCM?
 
Back
Top Bottom