Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Kizazi hiki na kile kilichopewa goroli na kushangilia Kama mazuzu Bora kipi 😂😂😂
 
Huyu kilaza alumtukana sana jpm kwenye ishu za kukataa madini kutoroshwa leo analia mpumbavu sana

USSR
Kipindi cha Mwendazake madini yalitoroshwa sana ila si kwa uwazi kama sasa.
Wizi haujawahi kupungua wala kuisha tangu CCM imeundwa.
 
Huyu kilaza alumtukana sana jpm kwenye ishu za kukataa madini kutoroshwa leo analia mpumbavu sana

USSR
Wanatafuta legitimacy ya kuendelea kupewa mkate wa bure ng'ambo kwa kisingizio cha nikirudi nyumbani nitafungwa kwa kuwa nilikuwa na mkosoa mkuu!
 
Toka awamu ya magufuli msimchafue mama kazi unawapaje wajeshi na mishahara yakutosha huna unategemea uzalendo nahilosomo huna kwenye mitaala...
 
Inasikitisha madini gani sasa, Tanzanite Au dhahabu Au almasi ?
 
Bwana yule alikejeliwa na wachaga kisa ukabila sasa amekufa

Mbona bado mnalalama
 
Habari za namna hii hazisaidii chochote na wala hazina manufaa yoyote.

Kama unaona uchungu kweli na huo utoroshaji, taja wahusika, au kama huwezi kuwataja majina moja kwa moja, elezea habari zinazowahusu na wasomaji watapata picha.

Mada za namna hii ni matakataka tu yanayojaza kurasa za JF, na kuumiza roho za wazalendo wa nchi hii.
 
Anayefanya kwa maslahi vya taifa hutengeneza mifumo. Enzi za Magufuli wizi ulikuwepo lakini ilikuwa ngumu kutangaza.
Leo ndiyo mmejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili ya taifa? Nendeni mkatubu haraka sana
 
Anasema hayo akiwa wapi?
Ana ushahidi auweke hadharani, siyo kuteta mwanaume,
Anaambiwa na kina nani?? Yeye ka nani??
Ogopa SANA, neno naambiwa nasikia, inaonyesha jinsi gani mtoto wa kiume ni mbeya na pashkuna na shambenga,

Everyday is Saturday................................😎
 
Hao vyombo vya ulinzi ndio walisimamia wizi wa kura, sasa ni wakati wao kusimamia wizi wa madini kwani wanafaidika
wanini kila siku watu wanalalamika tu kuhusu wizi wa madini?

Ni wakina nani hao wanaotorosha madini wanaonekana lakini vyombo vya usalama vipo kimya?

Au wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa wa serikalini?

Haiwezekani Rais, mawaziri, na watu binafsi wote wanalia, hili taifa linachekesha.
 
Leo ndiyo mmejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili ya taifa? Nendeni mkatubu haraka sana
Magufuli yeye alijaribu kororosha kwenda rwanda akakwama ndo maana sliwaachia wale askari waliohongwa mabilion
 
Eti madini yanatoroshwa…………huyo mchimbaji mli msaidia nini wakati sna risk maisha yake kuyatafuta gayo madini huko ardhi?? Na kwa nini ayatoroshe??
 
Back
Top Bottom