Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Huyo unayemsema yeye na Kagame ndo zilikuwa dili zao za kimya kimya
Hajui kua kilichowakosanisha Magu na Kagame ni madini ya Kongo yaliyokua yanaibwa na Kagame then zinaungana na za Tz kwa Magu alafu wanapiga mpunga?
 
Jiwe ashamuonjesha Kagame raha ya utajiri wa nchi hii, Mtandao waliouasisi wa kupiga madini yetu hauwezi kuisha kirahisi. Hii ni syndicate yenye nguvu sana. Mama aonyeshe uzalendo kwa kufanya jambo huko. kwenye madini
Chawa wa Maushungi mna kazi kweli kubadilisha Kinyesi cha ng'ombe kuwa keki ya bezidei! Maza keshachoka kabla ya kuchoka.

Mnaishia kuunda vistori stori vya kijinga kumchafua marehemu! Poleni. Mara ooh Kagame Ooh sijui nani!

Pathetic
 
Chawa wa Maushungi mna kazi kweli kubadilisha Kinyesi cha ng'ombe kuwa keki ya bezidei! Maza keshachoka kabla ya kuchoka.

Mnaishia kuunda vistori stori vya kijinga kumchafua marehemu! Poleni. Mara ooh Kagame Ooh sijui nani!

Pathetic
Na hivi hapa ni vistory vya kutunga? 😄😄..

Tunajenga kwa pesa zetu 👇

Screenshot_20211113-134557.png
 
Tutamkumbuka kwa mazuri si kwa mabaya hii ndio ilikuwa kauli yake kila asimamapo.
 
CCM ni janga la hii nchi,na mbaya zaidi hakuna hata anayejaribu kutetea japo hata kwa unafiki ,na vyombo vya ulinzi vimegeuka walinzi wa hao wezi, akitokea anayehoji tu kesi ya ugaidi inamuhusu
 
Huyo mpumbavu aache kulia!

Aache watu wafaidi maana walionewa sana kwa miaka 5
 
Kiturilo huyo Magufuli wako ndiyo alikuwa mwizi aliyekubuhu ila alitumia ujinga wenu kwa kuwa mlikuwa mnaamini kila awaambiacho.

Je unajuwa kwa nini Paul Kagame hakuja kwenye msiba na mazishi yake?

Je unajuwa kwa nini aliingia gereza la Butimba na kuamuru wale watorosha dhahabu walioshikwa na Polisi waachiwe?

Je unajuwa kuwa Mbunge Alexnder Mnyeti ni mpwa wake? Na kwamba Mnyeti ana ukwasi wa kutisha uliotokana na madini aliyoiba akiwa RC Manyara?
Unauliza tena maswali,weka vielelezo.
 
Huyo ndio aliweka watu wake kule wanashindana kuiba, Sasa mama anaenda kuwapiga chini wote then mje humu sukuma gang muanze kulialia!
Kama wale aliowapiga chini juzi pale bandarini ee?
 
Back
Top Bottom