Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Leo ndiyo mmejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili ya taifa? Nendeni mkatubu haraka sana
Huyu huyu ambaye alikuwa mwiba kwenye ubavu wa viongozi wetu wakati wakipigana kufa na kupona anatujuza bila hata soni! Will I be wrong if I call that enemy of the state...Mi nakusii mundelee kubeba mabox yenu huko mliko mtuache na amani yetu, hamna jema lolote wa jinsi yenu! Hivi nikisema I hate you to the bottom of my heart you guys, Mungu hatanisamehe dhambi hii?
 
Huyu ametumika kumlenga waziri wa Madini. Naye Waziri yupo kimya kama hakuna kinachoendelea!
 
Leo ndiyo mmejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili ya taifa? Nendeni mkatubu haraka sana
Yeye mwenyewe alikuwa anaibiwa wakati alijaza walinzi wa jwtz pale. Ilisemwa kuwa kuna waty waliiba wakipitisha chini ya ardhi? Under ccm hakuna jambo jema watanzania wategemee
 
Kiturilo huyo Magufuli wako ndiyo alikuwa mwizi aliyekubuhu ila alitumia ujinga wenu kwa kuwa mlikuwa mnaamini kila awaambiacho.

Je unajuwa kwa nini Paul Kagame hakuja kwenye msiba na mazishi yake?

Je unajuwa kwa nini aliingia gereza la Butimba na kuamuru wale watorosha dhahabu walioshikwa na Polisi waachiwe?

Je unajuwa kuwa Mbunge Alexnder Mnyeti ni mpwa wake? Na kwamba Mnyeti ana ukwasi wa kutisha uliotokana na madini aliyoiba akiwa RC Manyara?
Nakubaliana na wewe Jiwe alikuwa jambazi. Na hakupenda taarifa za Tanzanite mine zijulikane alitia ulinzi mkali sio kqa kuzuia wizi bali kqa kuficha asijulikane kinachofanyika.

Inasemekana huko Butimba alienda kuachia Looters and Smugglers counterparted to The Tall Man in EA
 
Huyu ametumika kumlenga waziri wa Madini. Naye Waziri yupo kimya kama hakuna kinachoendelea!
Hata Mohamed Mchengerwa juzi kasema kuna wizi huko migodini. Akaaishia kuagiza Takukuru.

Yaani hawa wanatuzuga tu.
 
Jiwe ashamuonjesha Kagame raha ya utajiri wa nchi hii, Mtandao waliouasisi wa kupiga madini yetu hauwezi kuisha kirahisi. Hii ni syndicate yenye nguvu sana. Mama aonyeshe uzalendo kwa kufanya jambo huko. kwenye madini
Kama Pk anahusika basi tumekwisha. He is untouchable linapokuja swala la Looting
 
Magufuli alikuwa fisadi was kutisha. Hakuwahi kupambana na ufisadi hata ule was wazi wazi ndani ya CCM au serikalini.

Alichofanya Magufuli alipunguza idadi ya wezi,walaji wakawa wachache yaani yeye na watu wake.Alizibana halmashauri mpaka punzi ya mwisho ili kujenga uaminifu kwa raia lkn ktk sekta kubwa km madini,nishati,barabara na usafirishaji aliweka watu wake wa karibu na wizi ulikuwa mkubwa sana.(Grand Corruption)

Madini hayajaanza kutoroshwa leo wala jana,yalitoroshwa hata baada ya ukuta wa mererani kujengwa.

Magufuli hakuwa mwema km watu wanavyotaka watu waamini.Samia amekutae madini yakitoroshwa na ataondoka ataacha yakitoroshwa.
Ilishaangaza sana kwamba madini yaliendelea kuibqa kipindi ambacho ukuta wa ulinzi ulijengwa kwa pesa nyingi. Jiwe alikuwa Profession Thief.
 
Hakuwa na uchungu na nchi huyo,Hawa wanaotorosha madini yeye ndio aliowaweka hapo tena kwa nguvu ya silaha na damu za watu
Sahihi. Hata urafiki wake na Pk ulikuwa ni wa kumnufaisha yeye kisiasa na wala sio maslahi ya taifa.
 


Mimi nilishapigiwa simu USA na kijana akitaka nimkope $4500. Akaniambia mara hii anataka kulipa kodi ya dhahabu na mimi nikamuuliza mlikuwa mnauza wapi madini ? Akasema wachimbaji wadogo wadogo wanapeleka kenya kwa jamaa ambaye anaishi mpakani kwa upande wa Musoma maana ndiyo rahisi kuvuka. Nika post hapa sijui kama walifuatilia
 
Kuna kitu asilimia kubwa ya wanaharakati wa siasa wanashindwa kuelewa:

Magufuli, JK, Mama Samia, Mzee Mwinyi, Mkapa na Nyerere ni watu.

Wote wana mazuri na mapungufu yao, sasa wao unakuta wana emotional attachments na mtu, badala ya kuangalia actions.

Ufanyi siasa sababu ya mtu na ujiungi kwenye chama cha siasa sababu ya mtu; people are mortal, whereby political parties in a sense could be immortal.

So in politics you stand with values you believe na katika wanasiasa wa Tanzania waliowahi simamia values ni wawili tu Nyerere na Magufuli.

Hapo ndio kuna shida unakuta baadhi ya watu wanashindwa kuelewa asilimia ya kwamba waliokuwa wanampenda Magufuli ni values anazo simamia sio yeye mwenyewe.

Watu wanao invest emotional attachment either kwa kumpenda au chuki kwa kiongozi ndio unakuta wana flip flop; mfano Chahali.

Miaka yote amekuwa akitukana serikali ya Magufuli halafu leo analia ubadhirifu umerudi kwa kasi; inaonesha chuki zake kwa mtu sio kwa sababu wanapishana kwenye value anazosimamia bali ni personal vendettas.

Uwezi kumchukia au kumpenda mtu usiomjua at personal level (if you do it’s a mental health issue); bali unapenda au unachukia actions zake kutokana values unazoamini wewe and that is what politics is about.

Tunatabia ya kuwakuza watu uchwara kama huyu Chahali, Maria Sarungi, Fatma Karume, Kigogo and other nonsense from twitter ambao siasa zenyewe awazijui even by definition let alone the spectrum of values from far right to far left and in betweeners. Ukiwasoma ujinga mtupu.

If you were to ask many people what values did Magufuli represent not many in this forum can deduce based on his actions he was a central right politician (in other words a conservative politician), rather than a left.
 
Back
Top Bottom