Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Nakubaliana na wewe Jiwe alikuwa jambazi. Na hakupenda taarifa za Tanzanite mine zijulikane alitia ulinzi mkali sio kqa kuzuia wizi bali kqa kuficha asijulikane kinachofanyika.

Inasemekana huko Butimba alienda kuachia Looters and Smugglers counterparted to The Tall Man in EA
Muigai Jr njoo usome hapa update majibu ya maswali ambayo hukuelewa kwenye post yangu. Pythagoras uko deep sana
 
Kiturilo huyo Magufuli wako ndiyo alikuwa mwizi aliyekubuhu ila alitumia ujinga wenu kwa kuwa mlikuwa mnaamini kila awaambiacho.

Je unajuwa kwa nini Paul Kagame hakuja kwenye msiba na mazishi yake?

Je unajuwa kwa nini aliingia gereza la Butimba na kuamuru wale watorosha dhahabu walioshikwa na Polisi waachiwe?

Je unajuwa kuwa Mbunge Alexnder Mnyeti ni mpwa wake? Na kwamba Mnyeti ana ukwasi wa kutisha uliotokana na madini aliyoiba akiwa RC Manyara?
Hii ni hate writting yaani umesema mambo mengi nusunusu ni kama vile mtu aliyetenguliwa channel yake ya ulaji halafu hata baada ya Magu kuondoka bado channel haijarudi...
 
anamaanisha nini anaposema ufisadi umerudi kwa kasi ya kisurisuri... kuna mahala nashindwa kuwaelewa Watanzania tunataka nini sasa...

mmeshiba ~~ ndiooo.
mna njaa ~~ ndiooo.
Sasa nn kisichoeleweka hapo, eti anamaanisha nn, au unazuga huelewi, Ana maana utawala huu mpya unaopendwa mitandaoni, umelegea, ufisadi umeanza kurudi.
Aya umeelewa?
 
Magufuli alikuwa mwizi na shetani mkubwa,akichofanya ni kuhakikisha hakuna mtu anayejua habari za wizi wake!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Mtapambana sana, with time, kila goti litapigwa na mtamkumbuka kwa mazuri, sababu hamna evidence ya uwizi wala ushetani wake, na huenda ukawa ww ni lishetani zaidi ya shetani mwenyewe.
Uzuri ni kwamba everything will come to light na tutajua who was real and who wasnt
 
Kiturilo huyo Magufuli wako ndiyo alikuwa mwizi aliyekubuhu ila alitumia ujinga wenu kwa kuwa mlikuwa mnaamini kila awaambiacho.

Je unajuwa kwa nini Paul Kagame hakuja kwenye msiba na mazishi yake?

Je unajuwa kwa nini aliingia gereza la Butimba na kuamuru wale watorosha dhahabu walioshikwa na Polisi waachiwe?

Je unajuwa kuwa Mbunge Alexnder Mnyeti ni mpwa wake? Na kwamba Mnyeti ana ukwasi wa kutisha uliotokana na madini aliyoiba akiwa RC Manyara?
Leta evidences mzee, hii maneno tupu bila evidence utadanganya mambwiga, evidences za ubaradhuli awamu hii zinazidi kuonekana na watu hadi waliompinga wanaanza kureport.
Mtapambana na maiti mpaka mchoke
 
Na hii ndio sababu binafsi niliona Upinzani is nonsense kwasababu Magufuli qlijitahidu sana still watu walipinga. So tueleweje Sasa sisi kama wananchi wa kawaida.
 
Kwangu kitu hiko hakipo na hakijawahi tokea,ww unayesema 1.5tl imeibiwa tupe ushahidi.
So hujui Assad baada ya kuliibua hilo alifanyiwa hila na kutolewa. Bwana yule alikuwa hapendi kuambiwa ukweli japo kila siku anajigamba eti "lazima tuelezane ukweli". Sasa wewe mwambie ukweli uone rungu litakavyo kushukia
 
Back
Top Bottom