Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Magufuli aliiba na adabu ya nchi ilikuepo hasa kwa sisi wachimbaji wadogo.
Pakusemea palikuepo kwa sisi wa chini. Saivi varangati tu uku mwenye ela muache atakuua
 
Kwanini kila siku watu wanalalamika tu kuhusu wizi wa madini?

Ni wakina nani hao wanaotorosha madini wanaonekana lakini vyombo vya usalama vipo kimya?

Au wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa wa serikalini?

Haiwezekani Rais, mawaziri, na watu binafsi wote wanalia, hili taifa linachekesha.
Hivyo vyombo nao wanahitaji kuwa na maisha mazuri
 
Mi sijawahi ona faida ya haya madini kwa nchi yetu!!acha waibe tu!!
Kwani hujui pesa inayopatikana kwa njia ya kodi ya madini hulipa wafanyakazi wa serekali including wanajeshi wanaokulinda kupitia mipaka na ww wavamizi hawakusumbui especially pale unapotia mabao mkeo usikii hata sauti ya risasi ww unamimina tu mabao kwa raha mustarehe......
 
Nipeni connection niwe mwizi wa madin tu ... life tight mtaani wahuni wanapiga dili tu mwanzo mwisho....

Watoto wa maskini sijui tutatoboa lini majamaa yako bize kutengeneza maisha ya vizazi vyao vijavyo tu hayana muda kuibua watu wa huku chini
 
Haya wewe una evidence yoyote hata siyo tangible ya kujua 1.5tr zilipoenda?
Acha kuharisha hapa. Taja Mali za magufuli kumi tu, au Mali za watoto wake.
Ukishindwa tuambie bila kuacha shaka, hizo pesa nyingi hivyo alizificha wapi?
 
Magufuli aliiba na adabu ya nchi ilikuepo hasa kwa sisi wachimbaji wadogo.
Pakusemea palikuepo kwa sisi wa chini. Saivi varangati tu uku mwenye ela muache atakuua
Acha kukaririshwa nawapiga porojo wa humu na wewe km kasuku unacheza mziki wao.
Tuambie bila kuacha shaka Magufuli aliiba mini?
 
Kwanini kila siku watu wanalalamika tu kuhusu wizi wa madini?

Ni wakina nani hao wanaotorosha madini wanaonekana lakini vyombo vya usalama vipo kimya?

Au wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa wa serikalini?

Haiwezekani Rais, mawaziri, na watu binafsi wote wanalia, hili taifa linachekesha.
Wewe ni mgeni hapa Tanzania?
 
Acha kuharisha hapa. Taja Mali za magufuli kumi tu, au Mali za watoto wake.
Ukishindwa tuambie bila kuacha shaka, hizo pesa nyingi hivyo alizificha wapi?
Umesema kazificha lakini bado wataka mimi niseme kazificha wapi, are you in sane? Mwizi anaweza hata fukia chini akafa na pesa zikaozea huko. Sema 1.5 tr iko wapi kama wew wajua!
 
Umesema kazificha lakini bado wataka mimi niseme kazificha wapi, are you in sane? Mwizi anaweza hata fukia chini akafa na pesa zikaozea huko. Sema 1.5 tr iko wapi kama wew wajua!
Hujielewi, nazani hata jinsia yako huielewi.
 
Huyo Chahali aache wivu na umbeya.
Kwani Samia hajui kuwa madini yanatoroshwa?
Kwani wanaotorosha madini hawajuani na Samia?

Kama serikali ni zao la wizi, bunge ni zao la wizi, mahakama ni kichaka cha wezi na polisi ndio wezi wenyewe, nini cha ajabu kama watu hao hao wataiba rasimali za taifa chini ya mwamvuli wa CCM?
Umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom