Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Wakaiba halafu kwenye takwimu za dunia wazungu wakaonyesha jinsi madini yetu yalivyopanda au sio?
So wote waendelee kuiba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu na viatu duniani...Kweli Tanzanite iwe 100% kutoka Tanzania alafu waseme alikuwa anaiba si unaona tu ni viatu vinaongea?
 
Ulitaka aje kumzika kitengo wamshughulikie?
Inasemwa kuwa alichikichia mpunga mrefu wa madini aliopiga na Jiwe. Ilibidi kwanza aresolve issue kabla ya kutia mguu kwenye ardhi ya bongo.
Naamini bi mkubwa alipoenda rwanda walitafuta muafaka
Nimecheka kifala sana.......
CCM wataendelea kutawala hizi bongo mpaka watawale tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu.
Mpigadili akiiba ni lahisi kumuonya au hatabkumtoa kabisa.
Ila mjeshi akiiba kumuondoa lazia ujipange na ni ngumu.

Kumuweka mwanajeshi kwenye usimamamiz wa mali za uma unatakuwa upate wazalendo wa kweli.lasivyo utajuta.
kuwaweka wanajeshi kwenye madaraka au sehemu zenye mali, rushwa kubwa lazima zitokee maana hao wanafuata amri tu. Wakipata amri haramu wanatekeleza, wakipata amri halali wanatekeleza etc
 
kuwaweka wanajeshi kwenye madaraka au sehemu zenye mali, rushwa kubwa lazima zitokee maana hao wanafuata amri tu. Wakipata amri haramu wanatekeleza, wakipata amri halali wanatekeleza etc
Mwenda zake aliamini.ktk jeshi.
Kama hadi makomandoo.wanaachishwa na hawalipwi hela zao,unategemea nini kwa wengine.
 
Ulitaka aje kumzika kitengo wamshughulikie?
Inasemwa kuwa alichikichia mpunga mrefu wa madini aliopiga na Jiwe. Ilibidi kwanza aresolve issue kabla ya kutia mguu kwenye ardhi ya bongo.
Naamini bi mkubwa alipoenda rwanda walitafuta muafaka
No wonder mlikua mnamuamini Mange na kigogo [emoji16][emoji16]
 
Kwani hujui pesa inayopatikana kwa njia ya kodi ya madini hulipa wafanyakazi wa serekali including wanajeshi wanaokulinda kupitia mipaka na ww wavamizi hawakusumbui especially pale unapotia mabao mkeo usikii hata sauti ya risasi ww unamimina tu mabao kwa raha mustarehe......
Kumbe!!Mbona wanayaiba tena!kwa msaada wa nani kama jeshi lipo???
 
Back
Top Bottom