Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Dear Mama @SuluhuSamia naambiwa watu wanatorosha madini kama "hakuna kesho." Na wala hakuna usiri kwenye wizi huo. Mamlaka husika zinafahamu kinachoendelea lakini ndo hivyo, sekta ya madini imegeuzwa #ShambaLaBibi. Unfortunately, ufisadi umerudi kwa kasi ya upepo wa kisulisuli

Aache kulia lia,alikesha kwenye mitandao kumtukana magufuli, leo anaongea kitu gani?
 
So chief ukifanikiwq kuchezesha mchongo ukatiki ndo inakua umetusua hivo sio...
NB sina b wala che sekta ya madini sijui kitu mkuu ila nikiskia watu wanatorosha madini mahusigi tu wanapiga hela ndefu sana

Yeah ukifanikisha unakua mchongo especially kama yana uzito na purity nzuri mfano una at least Kg 1 na purity kuanzia 90%,ingawa kwenye kilo moja ukiweka ujanja ujanja unakua umekwepa kama 7M kwenye mrabaha kitu ambacho naona kama we n mzalendo sio cha kukwepa unalipa unaendelea na kaz kwa uhuru....Kwenye Vito (Gemstones) huko ndo kuna mabalaa
 
Kiturilo huyo Magufuli wako ndiyo alikuwa mwizi aliyekubuhu ila alitumia ujinga wenu kwa kuwa mlikuwa mnaamini kila awaambiacho.

Je unajuwa kwa nini Paul Kagame hakuja kwenye msiba na mazishi yake?

Je unajuwa kwa nini aliingia gereza la Butimba na kuamuru wale watorosha dhahabu walioshikwa na Polisi waachiwe?

Je unajuwa kuwa Mbunge Alexnder Mnyeti ni mpwa wake? Na kwamba Mnyeti ana ukwasi wa kutisha uliotokana na madini aliyoiba akiwa RC Manyara?
Amewekeza wapi hizo pesa zake tukagawane?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli alikuwa fisadi was kutisha. Hakuwahi kupambana na ufisadi hata ule was wazi wazi ndani ya CCM au serikalini.

Alichofanya Magufuli alipunguza idadi ya wezi,walaji wakawa wachache yaani yeye na watu wake.Alizibana halmashauri mpaka punzi ya mwisho ili kujenga uaminifu kwa raia lkn ktk sekta kubwa km madini,nishati,barabara na usafirishaji aliweka watu wake wa karibu na wizi ulikuwa mkubwa sana.(Grand Corruption)

Madini hayajaanza kutoroshwa leo wala jana,yalitoroshwa hata baada ya ukuta wa mererani kujengwa.

Magufuli hakuwa mwema km watu wanavyotaka watu waamini.Samia amekutae madini yakitoroshwa na ataondoka ataacha yakitoroshwa.
Aiseee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe ashamuonjesha Kagame raha ya utajiri wa nchi hii, Mtandao waliouasisi wa kupiga madini yetu hauwezi kuisha kirahisi. Hii ni syndicate yenye nguvu sana. Mama aonyeshe uzalendo kwa kufanya jambo huko. kwenye madini
Uswahiba wao ulikuwa wa wapi Kama hata hakuwahi kurejea bongo tangu pale mwanzo na hata hakuja mzika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiturilo huyo Magufuli wako ndiyo alikuwa mwizi aliyekubuhu ila alitumia ujinga wenu kwa kuwa mlikuwa mnaamini kila awaambiacho.

Je unajuwa kwa nini Paul Kagame hakuna kwenye msiba na mazishi yake?

Je unajuwa kwa nini aliingia gereza la Butimba na kuamuru wale watorosha dhahabu walioshikwa na Polisi waachiwe?

Je unajuwa kuwa Mbunge Alezander Mnyeti ni mpwa wake? Na kwamba Mnyeti ana ukwasi wa kutisha uliotokana na madini aliyoiba akiwa RC Manyara?
Ndio mjuze ajue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiturilo huyo Magufuli wako ndiyo alikuwa mwizi aliyekubuhu ila alitumia ujinga wenu kwa kuwa mlikuwa mnaamini kila awaambiacho.

Je unajuwa kwa nini Paul Kagame hakuja kwenye msiba na mazishi yake?

Je unajuwa kwa nini aliingia gereza la Butimba na kuamuru wale watorosha dhahabu walioshikwa na Polisi waachiwe?

Je unajuwa kuwa Mbunge Alexnder Mnyeti ni mpwa wake? Na kwamba Mnyeti ana ukwasi wa kutisha uliotokana na madini aliyoiba akiwa RC Manyara?
Wewe utakuwa yule askari aliyekuwa akijibishana na Magufuli pale butimba.
 
Uswahiba wao ulikuwa wa wapi Kama hata hakuwahi kurejea bongo tangu pale mwanzo na hata hakuja mzika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka aje kumzika kitengo wamshughulikie?
Inasemwa kuwa alichikichia mpunga mrefu wa madini aliopiga na Jiwe. Ilibidi kwanza aresolve issue kabla ya kutia mguu kwenye ardhi ya bongo.
Naamini bi mkubwa alipoenda rwanda walitafuta muafaka
 
Si mlitaka wanajeshi wawe wanasimamia.haya.yote ni makosa ya mwendazake.
Bora wanajeshi wapiga dili walikua wanataka jwtz ndio akasimamie hana ujuzi hana equipments hapo simnalizwa mpk basi nyie hamjui tu ugumu ulioko huku watu wanaibaa mpk wanaiba tena na afadhali kwa meendazske kulipungua kiasi!
 
Mkuu.
Mpigadili akiiba ni lahisi kumuonya au hatabkumtoa kabisa.
Ila mjeshi akiiba kumuondoa lazia ujipange na ni ngumu.

Kumuweka mwanajeshi kwenye usimamamiz wa mali za uma unatakuwa upate wazalendo wa kweli.lasivyo utajuta.
 
Back
Top Bottom