Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Mi sijawahi ona faida ya haya madini kwa nchi yetu!!acha waibe tu!!
Wakiiba watazirejesha nchini kama misaada.
Wao ndo utupa misaada na mikopo na mingi hatulipi so wakiiba wanajilipa
 
Hii ni hate writting yaani umesema mambo mengi nusunusu ni kama vile mtu aliyetenguliwa channel yake ya ulaji halafu hata baada ya Magu kuondoka bado channel haijarudi...
Wenye akili kubwa tu ndiyo wameelewa, nyie wa la 7 piteni kasi hiyo haikuwalenga nyinyi
 
Magufuli alikuwa mwizi na shetani mkubwa,akichofanya ni kuhakikisha hakuna mtu anayejua habari za wizi wake!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Hakuwahi kugusa TANROAD kule wanamjua nje ndani .
Kulikuwa na boss mmoja anawabana wa chini wasile kisha anakula na wachache kwa siri eti wasijue wengine.
 
Yaani wizi hujaanzwa leo kulalamikiwa umeanza toka chama changu cha CCM kishike dola yaani sembuse kura zinaibwa ndiyo washindwe madini,,
Uwizi huu umefundishwa na chama changu cha CCM mpaka sasa umevuka steji mpaka kwenye mali za Uma
 
Kama serikali ni zao la wizi, bunge ni zao la wizi, mahakama ni kichaka cha wezi na polisi ndio wezi wenyewe, nini cha ajabu kama watu hao hao wataiba rasimali za taifa chini ya mwamvuli wa CCM?
Wanaofanya haya ni ccm weneyewe, ukoo wa panya upo kazini
 
So hujui Assad baada ya kuliibua hilo alifanyiwa hila na kutolewa. Bwana yule alikuwa hapendi kuambiwa ukweli japo kila siku anajigamba eti "lazima tuelezane ukweli". Sasa wewe mwambie ukweli uone rungu litakavyo kushukia
Sehemu gani kwenye hiyo ripoti ya Assad imeonyesha kuna upotevu wa 1.5tl,unaweza ukakopi hata paragraph huku ukirefer page no nasi tuone.
 
Sehemu gani kwenye hiyo ripoti ya Assad imeonyesha kuna upotevu wa 1.5tl,unaweza ukakopi hata paragraph huku ukirefer page no nasi tuone.
Wakati Assad anasema hayo alisema ni page number ngapi? Kama hiyo report ilishafika mikononi mwa yule asiyependa ukweli (Jiwe) bado unaweza kulikuta hilo swala? Hapa nazungumzia uhalali wa hiyo report baada ya kutua mikononi mwa Jiwe
 
Sehemu gani kwenye hiyo ripoti ya Assad imeonyesha kuna upotevu wa 1.5tl,unaweza ukakopi hata paragraph huku ukirefer page no nasi tuone.
Nikukumbushe tu, CAG alisema kuna upotevu wa 1.5tr,Jiwe akamsimamisha mbele ya hadhira na kumuuliza kuwa "Nasikia kuna wizi wa 1.5tr?" CAG akasema hapana mheshimiwa. Jiwe alikuwa mwizi na muongo sana, Assad alisema kuna upotevu ila yeye akamuuliza kama kuna wizi, siyo kazi ya CAG kusema kuna wizi au la, ila ni kazi ya Bunge kufatilia then PCCB. Hapo natumai utakuwa umekumbuka sasa otherwise utakuwa ndiyo wale wanajiita wanyonge.
 
Wakati Assad anasema hayo alisema ni page number ngapi? Kama hiyo report ilishafika mikononi mwa yule asiyependa ukweli (Jiwe) bado unaweza kulikuta hilo swala? Hapa nazungumzia uhalali wa hiyo report baada ya kutua mikononi mwa Jiwe
Assad alisema wapi kuna upotevu wa 1.5tr,kama kuna clip au kwenye report iweke hapa.
 
Nikukumbushe tu, CAG alisema kuna upotevu wa 1.5tr,Jiwe akamsimamisha mbele ya hadhira na kumuuliza kuwa "Nasikia kuna wizi wa 1.5tr?" CAG akasema hapana mheshimiwa. Jiwe alikuwa mwizi na muongo sana, Assad alisema kuna upotevu ila yeye akamuuliza kama kuna wizi, siyo kazi ya CAG kusema kuna wizi au la, ila ni kazi ya Bunge kufatilia then PCCB. Hapo natumai utakuwa umekumbuka sasa otherwise utakuwa ndiyo wale wanajiita wanyonge.
"Mbele ya hadhira " ,naomba unipatie hiyo clip ya hiyo hadhira siku ambayo Jiwe akimuuliza Assad.
 
Back
Top Bottom