Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

sasa hayo madini yanatoloshwaje wakati serikali haiyachimbi maadam yule kichaa hayupo hata wakitaku kuuza bandari ya dar tuwaruhusu maana angalau sasa maiti haziokotwi huko ufukweni
 
Kwanini kila siku watu wanalalamika tu kuhusu wizi wa madini?

Ni wakina nani hao wanaotorosha madini wanaonekana lakini vyombo vya usalama vipo kimya?

Au wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa wa serikalini?

Haiwezekani Rais, mawaziri, na watu binafsi wote wanalia, hili taifa linachekesha.
Harafu hawawataji,Rais analalamika, Waziri analalamika na watendaji na Hawa akina Chahali wanalalamika lakini hakuna anaewataja hao watorosha madini.
 
anamaanisha nini anaposema ufisadi umerudi kwa kasi ya kisurisuri... kuna mahala nashindwa kuwaelewa Watanzania tunataka nini sasa...

mmeshiba ~~ ndiooo.
mna njaa ~~ ndiooo.
Watanzania hawajui wanataka nini mpaka leo

Ova
 
Huyo ndio aliweka watu wake kule wanashindana kuiba, Sasa mama anaenda kuwapiga chini wote then mje humu sukuma gang muanze kulialia!

Sukuma gang ni wimbo hushachokwa, pambana na bei ya Alzeti, vifaa vya ujenzi n.k hukoooo
 
Kiturilo huyo Magufuli wako ndiyo alikuwa mwizi aliyekubuhu ila alitumia ujinga wenu kwa kuwa mlikuwa mnaamini kila awaambiacho.

Je unajuwa kwa nini Paul Kagame hakuja kwenye msiba na mazishi yake?

Je unajuwa kwa nini aliingia gereza la Butimba na kuamuru wale watorosha dhahabu walioshikwa na Polisi waachiwe?

Je unajuwa kuwa Mbunge Alexnder Mnyeti ni mpwa wake? Na kwamba Mnyeti ana ukwasi wa kutisha uliotokana na madini aliyoiba akiwa RC Manyara?

Hii insha inatufundisha nini sisi?
 
Kwanini kila siku watu wanalalamika tu kuhusu wizi wa madini?

Ni wakina nani hao wanaotorosha madini wanaonekana lakini vyombo vya usalama vipo kimya?

Au wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa wa serikalini?

Haiwezekani Rais, mawaziri, na watu binafsi wote wanalia, hili taifa linachekesha.
Usalama kazi yao kulinda CCM, kuteka na kutengenezea wapinzani kesi
 
unaambiwa hii nchi ina madini mengi mnooo lakini yanayotoroshwa hajulikani... sio siri tena ila unaambiwa wanaotorosha hawajulikani... masoko yanapokea kila siku huku sababu za kushuka kwa nyakati tofauti zinajulikana.

kama sio siri mbona hawatajwi...
 
Sukuma gang ni wimbo hushachokwa, pambana na bei ya Alzeti, vifaa vya ujenzi n.k hukoooo
Pole Sana,wenzio tulishajenga kitambo, sasaivi nyumba zinazaa nyumba, Kodi za nyumba tano unanunua kiwanja kwa mwaka
 
Mi sijawahi ona faida ya haya madini kwa nchi yetu!!acha waibe tu!!

Walitudanganya na MAKINIKIA kuwa wakilipwa na ACACIA tutanunuliwa kila mmoja wetu NOAH mpaka leo JIWE kaondoka na Kabudi nae yuko kimya kama vile hakuwepo!! Aliyefaidika na hayo MAKINIKIA ni huyo Kabudi na rafiki yake pia wa jalalani aliyeambulia kuwa GAVANA wa benki kuu!!!
THE COUNTYRY IS FEMALE HENCE EASILY PENETRATED!
 
Sasa hivi tatizo sio madini ...subiri kwanza tuvunje mabanda yote ya machinga ili wakome kutorosha madini .....just kidin[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom