Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

1783460_IMG_20180609_065431.jpg

1638006971_1638006971-picsay.jpg
 
Leo ndiyo mmejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili ya taifa? Nendeni mkatubu haraka sana
Kiturilo huyo Magufuli wako ndiyo alikuwa mwizi aliyekubuhu ila alitumia ujinga wenu kwa kuwa mlikuwa mnaamini kila awaambiacho.

Je unajuwa kwa nini Paul Kagame hakuja kwenye msiba na mazishi yake?

Je unajuwa kwa nini aliingia gereza la Butimba na kuamuru wale watorosha dhahabu walioshikwa na Polisi waachiwe?

Je unajuwa kuwa Mbunge Alexnder Mnyeti ni mpwa wake? Na kwamba Mnyeti ana ukwasi wa kutisha uliotokana na madini aliyoiba akiwa RC Manyara?
 
Mwenye uchungu na Nchi hii ameshatangulia mbele za haki. Ni nani tena atusaidie?
Magufuli alikuwa fisadi was kutisha. Hakuwahi kupambana na ufisadi hata ule was wazi wazi ndani ya CCM au serikalini.

Alichofanya Magufuli alipunguza idadi ya wezi,walaji wakawa wachache yaani yeye na watu wake.Alizibana halmashauri mpaka punzi ya mwisho ili kujenga uaminifu kwa raia lkn ktk sekta kubwa km madini,nishati,barabara na usafirishaji aliweka watu wake wa karibu na wizi ulikuwa mkubwa sana.(Grand Corruption)

Madini hayajaanza kutoroshwa leo wala jana,yalitoroshwa hata baada ya ukuta wa mererani kujengwa.

Magufuli hakuwa mwema km watu wanavyotaka watu waamini.Samia amekutae madini yakitoroshwa na ataondoka ataacha yakitoroshwa.
 
Leo ndiyo mmejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili ya taifa? Nendeni mkatubu haraka sana
Kiturilo huyo Magufuli wako ndiyo alikuwa mwizi aliyekubuhu ila alitumia ujinga wenu kwa kuwa mlikuwa mnaamini kila awaambiacho.

Je unajuwa kwa nini Paul Kagame hakuna kwenye msiba na mazishi yake?

Je unajuwa kwa nini aliingia gereza la Butimba na kuamuru wale watorosha dhahabu walioshikwa na Polisi waachiwe?

Je unajuwa kuwa Mbunge Alezander Mnyeti ni mpwa wake? Na kwamba Mnyeti ana ukwasi wa kutisha uliotokana na madini aliyoiba akiwa RC Manyara?
 
Kwanini kila siku watu wanalalamika tu kuhusu wizi wa madini?

Ni wakina nani hao wanaotorosha madini wanaonekana lakini vyombo vya usalama vipo kimya?

Au wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa serikalini?

Haiwezekani Rais, mawaziri, na watu binafsi wote wanalia, hili taifa linachekesha.
Jibu umelitaja "wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa serikalini"
 
Back
Top Bottom