Chahali: Madini yanatoroshwa kwa kasi ya kutisha

Kwanini kila siku watu wanalalamika tu kuhusu wizi wa madini?

Ni wakina nani hao wanaotorosha madini wanaonekana lakini vyombo vya usalama vipo kimya?

Au wahusika nao wanahusiana na vyombo vya usalama na maafisa wa serikalini?

Haiwezekani Rais, mawaziri, na watu binafsi wote wanalia, hili taifa linachekesha.
 
Mama anaupiga mwingi.
 
Huyo Chahali aache wivu na umbeya.
Kwani Samia hajui kuwa madini yanatoroshwa?
Kwani wanaotorosha madini hawajuani na Samia?

Kama serikali ni zao la wizi, bunge ni zao la wizi, mahakama ni kichaka cha wezi na polisi ndio wezi wenyewe, nini cha ajabu kama watu hao hao wataiba rasimali za taifa chini ya mwamvuli wa CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…