Kuna watu na viatu duniani...Kweli Tanzanite iwe 100% kutoka Tanzania alafu waseme alikuwa anaiba si unaona tu ni viatu vinaongea?Wakaiba halafu kwenye takwimu za dunia wazungu wakaonyesha jinsi madini yetu yalivyopanda au sio?
So wote waendelee kuiba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kifala sana.......Ulitaka aje kumzika kitengo wamshughulikie?
Inasemwa kuwa alichikichia mpunga mrefu wa madini aliopiga na Jiwe. Ilibidi kwanza aresolve issue kabla ya kutia mguu kwenye ardhi ya bongo.
Naamini bi mkubwa alipoenda rwanda walitafuta muafaka
kuwaweka wanajeshi kwenye madaraka au sehemu zenye mali, rushwa kubwa lazima zitokee maana hao wanafuata amri tu. Wakipata amri haramu wanatekeleza, wakipata amri halali wanatekeleza etcMkuu.
Mpigadili akiiba ni lahisi kumuonya au hatabkumtoa kabisa.
Ila mjeshi akiiba kumuondoa lazia ujipange na ni ngumu.
Kumuweka mwanajeshi kwenye usimamamiz wa mali za uma unatakuwa upate wazalendo wa kweli.lasivyo utajuta.
Mwenda zake aliamini.ktk jeshi.kuwaweka wanajeshi kwenye madaraka au sehemu zenye mali, rushwa kubwa lazima zitokee maana hao wanafuata amri tu. Wakipata amri haramu wanatekeleza, wakipata amri halali wanatekeleza etc
No wonder mlikua mnamuamini Mange na kigogo [emoji16][emoji16]Ulitaka aje kumzika kitengo wamshughulikie?
Inasemwa kuwa alichikichia mpunga mrefu wa madini aliopiga na Jiwe. Ilibidi kwanza aresolve issue kabla ya kutia mguu kwenye ardhi ya bongo.
Naamini bi mkubwa alipoenda rwanda walitafuta muafaka
[emoji1][emoji1] na watatawala milele mzee.Nimecheka kifala sana.......
CCM wataendelea kutawala hizi bongo mpaka watawale tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe!!Mbona wanayaiba tena!kwa msaada wa nani kama jeshi lipo???Kwani hujui pesa inayopatikana kwa njia ya kodi ya madini hulipa wafanyakazi wa serekali including wanajeshi wanaokulinda kupitia mipaka na ww wavamizi hawakusumbui especially pale unapotia mabao mkeo usikii hata sauti ya risasi ww unamimina tu mabao kwa raha mustarehe......
AjabuBwana yule alikejeliwa na wachaga kisa ukabila sasa amekufa
Mbona bado mnalalama