Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
Nimemwambia Tito akalipie ukumbi mkubwa kabisa ili tarehe 5february jumamosi saa nane mchana shughuli inaanza. Ni shughuli kweli kweli, mosi; kuhakikisha kama sura ya FL,NM,MJ ni hii iliyopo ktk avatar au sio na wengineo, pili; nini mwisho wa kikao.
Mkuu MALILA na KANYAGIO;
Sina uhakika kama MZUZU amepita hapa jukwaani hivi karibuni; ushiriki wake ungeweza kuleta changamoto zaidi kwa wadau kujikita katika kilimo cha Muhogo kutokana na fursa ya soko lililopo kupitia ile project yao ya ku-process muhogo ili kupata starch.
Hebu ifafanue kidogo kama unaifahamu vyema,kwa faida ya wengi tafadhali.
Amani yetu inatumiwa vibaya.
AHSANTE SANA Malila kwa update hiii. ukumbi naufahamu ni mzuri. Je kwa bei hii ni siku nzima au masaa machache.. na je umeme ukikatika inakuwaje in terms of upatikanaji wa generator (na kama wakiwasha generator wanapandisha bei). tukumbuke kuwa bei hii ni kwa ajili ya ukumbi tu so tutaongezea hela kidogo kwa ajili ya refreshment). naomba members wengine watoe maoni yao haraka iwezekanavyo ili tuone kama LUNCH time (ubungo external) uchukuliwe huo au utafutwe mwingine kama Rombo View Hotel. tunaoma ushauri wenu wa mwisho kabla kukamilisha suala la ukumbi.
Nakushukuru sana malila kwa update yako. namshukuru sana TITO kwa juhudi zake (inatia moyo jamani)
mpaka sasa watu waliokwisha thibitisha kushiriki ni wafuatao:
NOTE: kuwa watu wachache kama wawili watatu ambao si members wa JF ambao wamethibitisha ushiriki wao (sijaweka majina yao hapa).
- KANYAGIO
- MALILA
- MGOMBEZI
- KASOPA
- ZAHOR SALIM
- NEW MZALENDO
- TGS D
- REALTOR
- MASAKI
- STREET SMART
- ELNINO
- LEN
- BABALAO
- TITO
naomba wale wote wanaohitaji kushiriki mkutano huu watoe uthibitisho..
katika siku chache zijazo tuta-share timetable/agenda
Hivyo ndivyo nilivyoonekana nikiwa na umri wa miaka 5
Sasa hapa,umetoka kuoga au unakwenda kuoga,maana hilo poda !!!!!! Ila ulikuwa na afya.
5 fEB NI SIKU YA KUANZISHWA CCM, NI KAMA VILE UNATAKA TUSHEREHEKEE HUU UPUPU.
5 fEB NI SIKU YA KUANZISHWA CCM, NI KAMA VILE UNATAKA TUSHEREHEKEE HUU UPUPU.
updated list
Waliowekewa rangi nyekundu ndo wameogezeka
- KANYAGIO
- MALILA
- MGOMBEZI
- KASOPA
- KASOPA FRIEND NO. 1
- KASOPA FRIEND NO. 2
- ZAHOR SALIM
- NEW MZALENDO
- TGS D
- REALTORa
- MASAKI
- STREET SMART
- ELNINO
- LEN
- BABALAO
- THE INVESTOR
- MASIKINI JEURI
- SABI SANDA
- DORISVETY
- CARMEL
- RAMTHODS
- BENNET (wa mitiki blog)
- GAMAHA
- AMBASSADOR
babalao ukiangalia post za hapo juu utagundua kuwa jina lako lipo (Na. 15).Na mimi nitakuwepo tupewe venue na time ya kukutana mapema