CHAI Day 5 Feb 2011 Dar: Kujadili fursa katika Kilimo na ufugaji

CHAI Day 5 Feb 2011 Dar: Kujadili fursa katika Kilimo na ufugaji

Nimemwambia Tito akalipie ukumbi mkubwa kabisa ili tarehe 5february jumamosi saa nane mchana shughuli inaanza. Ni shughuli kweli kweli, mosi; kuhakikisha kama sura ya FL,NM,MJ ni hii iliyopo ktk avatar au sio na wengineo, pili; nini mwisho wa kikao.

Hivyo ndivyo nilivyoonekana nikiwa na umri wa miaka 5
 
Mkuu MALILA na KANYAGIO;

Sina uhakika kama MZUZU amepita hapa jukwaani hivi karibuni; ushiriki wake ungeweza kuleta changamoto zaidi kwa wadau kujikita katika kilimo cha Muhogo kutokana na fursa ya soko lililopo kupitia ile project yao ya ku-process muhogo ili kupata starch.

Hebu ifafanue kidogo kama unaifahamu vyema,kwa faida ya wengi tafadhali.


Amani yetu inatumiwa vibaya.
 
wanajamvi,
update list ya waliothibitisha kushiriki ni hawa:

  1. KANYAGIO
  2. MALILA
  3. MGOMBEZI
  4. KASOPA
  5. ZAHOR SALIM
  6. NEW MZALENDO
  7. TGS D
  8. REALTOR
  9. MASAKI
  10. STREET SMART
  11. ELNINO
  12. LEN
  13. BABALAO
  14. THE INVESTOR
  15. MASIKINI JEURI
  16. SABI SANDA
  17. DORISVETY
  18. CARMEL
  19. RAMTHODS
  20. BENNET (wa mitiki blog)
  21. FIRST LADY (sina uhakika sana maana alisema.... wadau tupo pamoja--- Naomba uthibitishe kama utashiriki)
ambao wameonyesha nia lakini hawajathibitisha kutokana na ratiba zao ni NJOWEPO na KAMUZU

ambao wameomba udhuru kwa sababu watakuwa na shughuli nyingine ni CHEUSIMANGALA NA AFRICAN

Tunaendelea kupokea uthibitisho
 
Mkuu kanyagio naafiki na mipango yote na pia nami ntafatana na wajumbe wawili ambao sio wana JF nao watashiriki kikaoni na mchango utakaopendekezwa watatoa na kujisajiri rasim,
Mbarikiwe
PAMOJA INAWEZEKANA
AHSANTE SANA Malila kwa update hiii. ukumbi naufahamu ni mzuri. Je kwa bei hii ni siku nzima au masaa machache.. na je umeme ukikatika inakuwaje in terms of upatikanaji wa generator (na kama wakiwasha generator wanapandisha bei). tukumbuke kuwa bei hii ni kwa ajili ya ukumbi tu so tutaongezea hela kidogo kwa ajili ya refreshment). naomba members wengine watoe maoni yao haraka iwezekanavyo ili tuone kama LUNCH time (ubungo external) uchukuliwe huo au utafutwe mwingine kama Rombo View Hotel. tunaoma ushauri wenu wa mwisho kabla kukamilisha suala la ukumbi.

Nakushukuru sana malila kwa update yako. namshukuru sana TITO kwa juhudi zake (inatia moyo jamani)

mpaka sasa watu waliokwisha thibitisha kushiriki ni wafuatao:

  1. KANYAGIO
  2. MALILA
  3. MGOMBEZI
  4. KASOPA
  5. ZAHOR SALIM
  6. NEW MZALENDO
  7. TGS D
  8. REALTOR
  9. MASAKI
  10. STREET SMART
  11. ELNINO
  12. LEN
  13. BABALAO
  14. TITO
NOTE: kuwa watu wachache kama wawili watatu ambao si members wa JF ambao wamethibitisha ushiriki wao (sijaweka majina yao hapa).
naomba wale wote wanaohitaji kushiriki mkutano huu watoe uthibitisho..

katika siku chache zijazo tuta-share timetable/agenda
 
Mawazo yenu nimeyakubali wakuu mko vizuri. Yaani hata wahitimu wetu wa vyuo vya kilimo na mifugo wangekuwa na mawazo haya wala wasingehangaika na maswala ya kulialia mambo ya ajira.

Watu wawe wabunifu kama hawa wana-JF nimewagongea wakuu!!!
 
guys i will be there pls niongezeni kwenye list
 
Mkuu Malila mimi naomba Cheusi 2 afike kama alivyo pale mahala lakini bahati mabaya hatahuzuria
Sasa hapa,umetoka kuoga au unakwenda kuoga,maana hilo poda !!!!!! Ila ulikuwa na afya.
 
5 fEB NI SIKU YA KUANZISHWA CCM, NI KAMA VILE UNATAKA TUSHEREHEKEE HUU UPUPU.
 
1) Mkuu, baada ya hiyo tarehe tano kutakuwa na mkutano tena lini?

2) Binafsi sitakuwepo hapo hiyo tarehe lakini nilikuwa na hamu sana ya kushiriki, ni kwa njia hipi naweza kupata feedback ya kikao
 
5 fEB NI SIKU YA KUANZISHWA CCM, NI KAMA VILE UNATAKA TUSHEREHEKEE HUU UPUPU.

Lengo lingekuwa hilo basi theme ingeendana na tukio husika. Fuatilia kwa makini lengo la CHAI DAY.
 
Bwana utingo nazani umepotea kiwanja hiki sio kiwanja cha siasa plz soma tred kabla hujatoa tamko futilia mtiririko mzima wa tred ili ufaham nini malengona na sababuipi ikapendekezwa tarhe 5, pia unakaribishwa kuhuzuria unafake
5 fEB NI SIKU YA KUANZISHWA CCM, NI KAMA VILE UNATAKA TUSHEREHEKEE HUU UPUPU.
 
updated list

  1. KANYAGIO
  2. MALILA
  3. MGOMBEZI
  4. KASOPA
  5. KASOPA FRIEND NO. 1
  6. KASOPA FRIEND NO. 2
  7. ZAHOR SALIM
  8. NEW MZALENDO
  9. TGS D
  10. REALTOR
  11. MASAKI
  12. STREET SMART
  13. ELNINO
  14. LEN
  15. BABALAO
  16. THE INVESTOR
  17. MASIKINI JEURI
  18. SABI SANDA
  19. DORISVETY
  20. CARMEL
  21. RAMTHODS
  22. BENNET (wa mitiki blog)
  23. GAMAHA
  24. AMBASSADOR
Waliowekewa rangi nyekundu ndo wameogezeka
 
updated list

  1. KANYAGIO
  2. MALILA
  3. MGOMBEZI
  4. KASOPA
  5. KASOPA FRIEND NO. 1
  6. KASOPA FRIEND NO. 2
  7. ZAHOR SALIM
  8. NEW MZALENDO
  9. TGS D
  10. REALTORa
  11. MASAKI
  12. STREET SMART
  13. ELNINO
  14. LEN
  15. BABALAO
  16. THE INVESTOR
  17. MASIKINI JEURI
  18. SABI SANDA
  19. DORISVETY
  20. CARMEL
  21. RAMTHODS
  22. BENNET (wa mitiki blog)
  23. GAMAHA
  24. AMBASSADOR
Waliowekewa rangi nyekundu ndo wameogezeka

Kanyagio be my host! Nitakuwepo, naomba na ya cim nitumbukiz shekeli
 
Kanyagio be my host! Nitakuwepo, naomba na ya cim nitumbukiz shekeli

KIRESUA karibu..

ndugu wote mliothibitisha kushiriki.. kesho au keshokutwa nitatoa namba ya simu ili muanze kutumbukiza hela ya ushiriki wenu!!..sorry for delay
 
Na mimi nitakuwepo tupewe venue na time ya kukutana mapema
 
Na mimi nitakuwepo tupewe venue na time ya kukutana mapema
babalao ukiangalia post za hapo juu utagundua kuwa jina lako lipo (Na. 15).

aidha naomba nikujulishe kwamba tumeshafanya booking pale Lunch Time Hotel iliyopo Mandela Road opposite na Mabibo Hostel (siyo mbali toka ubungo External). Tutaanza saa nane kamili juu ya alama tarehe 5 Feb. na kila mtu atatakiwa kuchangia 15,000/= kwa ajili ya gharama za ukumbi na refreshment kidogo.
 
Back
Top Bottom