Chai ya maziwa sio maziwa na kahawa

Na waambia tu situmii khawa wana kuletea maziwa plain maana wengi wanaweka kama kiungo ni sawa uagize chai lakin una kuta ina tangawizi na iriki lakin wew labda hupendi una waambia wanakupa kile unapenda
 
Ndio, kushindwa kutofautisha chai na kahawa ni IQ ya Panzi.

Muhudumu uliyekutana naye ni kilaza...

Huenda hawana black /red tea leaves ndio akaona ajiongeze kukupatia kahawa pasipo kukupa taarifa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…