Supapawa JF-Expert Member Joined Aug 29, 2026 Posts 1,076 Reaction score 2,690 Oct 14, 2026 #21 min -me said: Hahaha ayalagaya napajua🤣 Click to expand... Ayalagaya iko Babati. Kule Yaeda chini ndiko wanapatikana kina Chaba na Dudukwe Yoda ni Muhadzabe 😂
min -me said: Hahaha ayalagaya napajua🤣 Click to expand... Ayalagaya iko Babati. Kule Yaeda chini ndiko wanapatikana kina Chaba na Dudukwe Yoda ni Muhadzabe 😂
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 18, 2026 #22 Ndivyo walivyokua navyo... Cc: Mahondaw
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 24,021 Reaction score 30,904 Oct 18, 2026 #23 Watu8 said: Ukiwa China au Korea, ukiagiza nyama kwa kusema tu unataka nyama, unaletewa kitimoto safiiii.... Click to expand... Nishapata appetite ya kula kitimoto choma. Sijui nitapata wapi hapa Darajan Zenjbar.
Watu8 said: Ukiwa China au Korea, ukiagiza nyama kwa kusema tu unataka nyama, unaletewa kitimoto safiiii.... Click to expand... Nishapata appetite ya kula kitimoto choma. Sijui nitapata wapi hapa Darajan Zenjbar.