tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,308
Poleni wafiwa Mungu awatie ktk wakati huu mgumu.
Pole sana Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe....
Mbele yeye nyuma sisi, apumzike kwa amani, pole sana ndugu yetu chakii tupo pamoja ktk hiki kipindi kigumu
pole jaman chakii
pole kwa kupoteza,Mungu awatie nguvu
Mkuu chakii pole sana kwa msiba mkubwa uliokufika wa kufiwa na dada yako. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu wewe na wafiwa wengine katika kipindi hiki kigumu kwenu cha majonzi~AMEEN.
poleni sana