Chakii amefiwa na dada yake

Chakii amefiwa na dada yake

Pole sana chakii,,, marehemu apumzike kwa amani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chakii pole sana kwa msiba mkubwa uliokufika wa kufiwa na dada yako. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu wewe na wafiwa wengine katika kipindi hiki kigumu kwenu cha majonzi~AMEEN.


Ahsante mkuu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu chakii poleni sana kwa kuondokewa na mpendwa wenu. Mungu akapate kuwapa wepesi kipindi iki kigumu.
 
Last edited by a moderator:
Allah akupe faraja chakii Katika kipindi hiki cha majonzi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom