Chakii amefiwa na dada yake

Chakii amefiwa na dada yake

Pole sana mkuu chakii! Tuliumbwa kwa udongo na lazima tutarudi udongoni! Apumzike dada yetu, Amina!
 
Last edited by a moderator:
Habari za mapumziko wana MMU!!

Mwanajamvi mwenzetu chakii amefiwa na dada yake leo asubuhi huko Machame,Moshi.
Taratibu za mazishi zinafanyika huko huko Machame.

Mungu awape wafiwa imani na utulivu katika kipindi hiki kigumu.


=======================================

Mungu akupe nguvu na subra katika kipindi hiki kigumu...... ....R.I.P dada.
 
Pole sana chakii na wafiwa wote...

RIP dada
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom