Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za mapumziko wana MMU!!
Mwanajamvi mwenzetu chakii amefiwa na dada yake leo asubuhi huko Machame,Moshi.
Taratibu za mazishi zinafanyika huko huko Machame.
Mungu awape wafiwa imani na utulivu katika kipindi hiki kigumu.
=======================================
Ni kweli nimefiwa kama mkuu Ennie alivyowasilisha taarifa hii hapa MMU.
Msiba umetokea asubuhi ya leo, dada yetu mpendwa alilazwa hospitalini kama wiki moja hivi ndipo MUNGU akaamua kumchukua asubuhi ya leo.
Wakuu nimezipokea kwa moyo wa unyenyekevu pole zenu, hakika nimepata Faraja kubwa.
Msiba upo Machame.
Pole Sana kwa kufiwa na dada"Iruwa awaninge finya kutiren den mbe"
Pole sana Chakii, mungu akutie nguvu.
pole mkuu
Pole sana mkuu...
Mungu awape nguvu wafiwa katika wakati huu mgumu and RIP sister.
Pole nyingiii
Pole sana