Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Ugali na mlenda.
Mtori na chapati 1
Ugali na dagaa rosted ukimix na tubamia, kakiazi na vinyanya chungu.
Wali maharage na kachumbari
Kumbe unapenda mlenda eeh😊Ugali na mlenda.
Mtori na chapati 1
Ugali na dagaa rosted ukimix na tubamia, kakiazi na vinyanya chungu.
Wali maharage na kachumbari
Ugali, mlenda, nyama, samaki, dagaa wa ziwa Victoria hizo hata niwe bilionea siwezi kuacha kulaMlenda
Hatari sana shemejiKumbe unapenda mlenda eeh😊
Utafungwa mwanafyale😅Tena kienyeji uliyoanza kupevuka, chuchu konzi.
Hata niwe kama Elon Musk, siachi ng'o. 🤣
Ukawa unatia kidole, unatoa unalamba 🤭🤣Juzi nimepita mitaa flan nimekuta wanauza vibungo nikanunua nikamuambia aweke na chumvi nyingi sana 😁