Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
N'gande/mtango..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imenikumbusha primary bungo la njano halafu chumvi na pilipili kibao. Ukimeza tunda saa ya haja kubwa zinatoka nzima nzima🤣Juzi nimepita mitaa flan nimekuta wanauza vibungo nikanunua nikamuambia aweke na chumvi nyingi sana 😁
Nmesoma vbaya bhnUkawa unatia kidole, unatoa unalamba 🤭🤣
Majani ya maharage yanaliwa mkuu?Ha ha ha ha ha ha ha
Mimi ugali kwa majani ya maboga yaliyowekwa karanga au unga wa mbegu za maboga au majani ya maharage yaliyowekwa karanga sitaweza acha kula kabisa.
Ndio bungo linavyoliwa mkuuNmesoma vbaya bhn
Ulikuwa unazitoa nzima nzima 🤣😅😂Imenikumbusha primary bungo la njano halafu chumvi na pilipili kibao. Ukimeza tunda saa ya haja kubwa zinatoka nzima nzima🤣
Ujaishi mbeyaMajani ya maharage yanaliwa mkuu?
Ya maboga najua
Iliyopevuka 18+🤣🤣 haina jela hiyo.Utafungwa mwanafyale😅
nakazia hapa.Wali maharage na kachumbari
Mlenda ni mzuri kwa afya shem darling..Hatari sana shemeji
pole sana mkuuNajiskia hovyo sana wanangu mniombee
Full utelezi sio 🤭🤣Mlenda ni mzuri kwa afya shem darling..
Kitu cha twita 😍nakazia hapa.
Asante hii hali tete mwili umechacha mnopole sana mkuu
Unakuta joto ni ya incubatorIliyopevuka 18+🤣🤣 haina jela hiyo.
Tena ukute kienyeji ya uswazi ina shanga mpaka kifuani.
Mungu akuafu na kukupa nafuu.Najiskia hovyo sana wanangu mniombee
AminaMungu akuafu na kukupa nafuu.
Kama kawaida nikakaa pembeni ni mwendo wa kutia midole tuu 👇😄Ukawa unatia kidole, unatoa unalamba 🤭🤣
Ukienda kizembe tako tatu tu wazungu hao. Na kwa kushika mimba sasa, kama smaku na chumaUnakuta joto ni ya incubator