Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kwa hiyo umepiga full suit ya ugali hadi sio poa....🤣🤣🤣🙌Wali
Pilau
Chipsi yai
Samaki wa kupikwa/ kukaanga...
Au itakuwa haishi Bongo huyuMkuu Kwa hiyo umepiga full suit ya ugali hadi sio poa....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Ungekuwa huku bush kwetu ningekupatia mswalu + karanga ukajilia na ugali wako wa udaga safi...Ugali wa udaga bila kuchanganywa na unga wowote...
Yaani mkuu umenikumbusha nswalu jamani hii mboga tamu balaa, ugali unaenda wenyewe tu. Nahisi utakuwa wa kwetu weweUgali wa udaga bila kuchanganywa na unga wowote.
Nswalu,Bata watasema jina la bomu hili..!
Maboga
Nyongeza chipupa.[emoji41]
Hilo ni tunda, taja chakula..!!PAPUCHI
Maboga ya maharage yaliyochanganywa na karanga/nazi/maziwa. Yaani ukupiga na ugali sipo poa pembeni kuwe na samaki wa kupwaza ni hatare kubwa!!Habari wadau,
Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto.
Ila wiki hii nitajitahidi nipike makende ya karanga.
Wewe umekumbuka chakula gani?
Dona na mboga gani?Ugali wa dona na magimbi, nimevimiss sana😋
Unaishi wapi mkuu hata wali maharage haupatikani?Wali
Pilau
Chipsi yai
Samaki wa kupikwa/ kukaanga
Kitimoto
Kuku/Bata
Viazi vitamu/mihogo
Mchicha/sukuma/Chinese
Maharage
NB: vipo vingi sana ila kwa ujumla nimemiss hivyo sijala siku nyingi!?