Chakula gani hujala muda mrefu?

Chakula gani hujala muda mrefu?

Habari wadau,

Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila H]
Ugali jamani khaaa nautamani kweli!! yapata miaka kumi sasa!! sijautia machoni
 
M
Kuumbe wewe dada Mmakondeeeee??? pwiiii!! nimenawa nilidhani bonge la Queen wa kanda maalumu!!! kijita , kikurya kuuumbe loool!! pole sana ndo maana unajifichaga kuuumbe!!
Mtanga huyoooo mkuu
 
Habari wadau,

Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto.

Ila wiki hii nitajitahidi nipike makande ya karanga.

Wewe umekumbuka chakula gani?

Naomba hilo pishi niwepo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom