Chakula gani hujala muda mrefu?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Habari wadau,

Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto.

Ila wiki hii nitajitahidi nipike makande ya karanga.

Wewe umekumbuka chakula gani?

 
Wali
Pilau
Chipsi yai
Samaki wa kupikwa/ kukaanga
Kitimoto
Kuku/Bata
Viazi vitamu/mihogo
Mchicha/sukuma/Chinese
Maharage

NB: vipo vingi sana ila kwa ujumla nimemiss hivyo sijala siku nyingi!?
 
Ugali wa udaga bila kuchanganywa na unga wowote.

Nswalu,Bata watasema jina la bomu hili..!

Maboga

Nyongeza chipupa.[emoji41]
Yaani mkuu umenikumbusha nswalu jamani hii mboga tamu balaa, ugali unaenda wenyewe tu. Nahisi utakuwa wa kwetu wewe
 
Habari wadau,

Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto.

Ila wiki hii nitajitahidi nipike makende ya karanga.

Wewe umekumbuka chakula gani?
Maboga ya maharage yaliyochanganywa na karanga/nazi/maziwa. Yaani ukupiga na ugali sipo poa pembeni kuwe na samaki wa kupwaza ni hatare kubwa!!
 
Ndizi fulani hivi sizijui jina ila ni fupi nene zinachemshwa
 
Huku niliko kume nitenganisha ná Kilo mmoja na ndizi mbili na Serengeti baridi
 
Ile chakula inayomesana na mwensieee aiseee, siku nikiiiifumaaaa walaaaaahii🤪🤪🤪
 
Wali
Pilau
Chipsi yai
Samaki wa kupikwa/ kukaanga
Kitimoto
Kuku/Bata
Viazi vitamu/mihogo
Mchicha/sukuma/Chinese
Maharage

NB: vipo vingi sana ila kwa ujumla nimemiss hivyo sijala siku nyingi!?
Unaishi wapi mkuu hata wali maharage haupatikani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…