financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Dona na kisamvu + dagaa wa naziπDona na mboga gani?
Lunch safi sana hii ukipata mpishi mzuri.Dona na kisamvu + dagaa wa naziπ
Milambo ipo wapi?Kande
Mara ya mwisho milambo high school
Mirambo- TaboraMilambo ipo wapi?
Niliona umeandika 'Milambo' nikajua Shule tofautiMirambo- Tabora
Halafu sio mimi, nimesaidia tuu.Niliona umeandika 'Milambo' nikajua Shule tofauti
Sana, ukitoka hapo unashushia na maji tu inatoshaLunch safi sana hii ukipata mpishi mzuri.