Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Kabichi hazishuki kwangu sijui aliyegundua Ni binadamu wa aina gani
 
Aisee niko radhi nishinde nameza mate yangu kuliko kula bamia+mlenda!!🤮🤮
 
Umeona ee tena isiive sana weka hoho,, karoti pilipili wee [emoji39].. kasoro nyanya tu ndo usiweke
Ukipata na samaki wa kukaanga hapo[emoji1] ugali unashuka vizurii.
 
Reactions: ABJ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…