Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Vipo, loshoro chakula cha wamasai mahindi ya kande wana mix na mtindi, ngararimo ni makande ya uchagani mahindi mazima + maharage wanapika na magadi hayo mahindi, anjero ni chapati za maji za wasomali au ethiopian
Duh jamani jamani hatari yan vyenye umesema tu hapo nimeona ni jinsi gani sifai kula hizo makitu.
Ila vyakula vya kiswahili ni best mengine utopolo
 
We mtoto wa mama

Kalunguyeye
Siku hiyo tumetoka bush huko tembea umbali mrefu sana na anko mpk hm masaa km ma3 kwenda kurudi ma3.nafika home shangzi ugali huo na mchuzi kibao sotojo,sikuliza nikatia ndani viaya ssa tuko kivulini pale ndio nasimulia walivyotandika wale kalunguyeye wawili na kupia mi mnyaki naona daah nshakula huyu mdudu
 
Back
Top Bottom