Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Hata upike vipi ilimradi kimeingia jikoni na kupata joto hata kidogo ni kula, no excuse..matumbo wengine ni ya bati na kila ladha ni mujarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…