Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

Chakula gani ulikula mara moja na kwa mara ya kwanza hadi leo hutaki tena kukila?

MCHICHA siupendi tangu nikiwa tumboni kwa mama, mama yangu leo akiona nasema siupendi uwa anacheka sana, anasema niliuchukia tangu nipo kwake, alikuwaga ad anazidiwa akinusa harufu ya mchicha

Sent from my Pixel 2 XL using JamiiForums mobile app
 
MAJANI YA KUNDE, yan lol sijui kama Mungu aliiweka kwa matumizi kama mboga
 
yaani boga lililopikwa harufu yake ikinijaa tu natapika..lah!
 
1.Hoho iliyopikwa (on salads it's ok)
2.Macaroni
3.Dagaa(omena)
4.Kamba(harufu ya mafuta yake)
5.Nyama ya mafuta au utumbo original-ile Soft on both sides - (ule upande wa nywele nywele hivi, sina shida nikila)


Salamu toka nchi jirani ✌️
 
Back
Top Bottom