Chakula gani usipokikuta kwenye sherehe unaona sherehe haijakamilika?

Nimewasaidia wadada wasivunge hapa oooh sijui kuku, kumbe waongo tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila Kuna sherehe nilienda ety ndiz zilizokaangwa na nyama ya kuku.... Khee like what? Vyakula vingine km visiting day mashulen [emoji3][emoji3]

Nataka pilau lililokolea viungo na masotojo Mimi Mr misosii[emoji3]

Afu wadada mko na mikoba kuekea Savana [emoji3],
 
hivi kwanini tikitimaji kila sherehe lazima litawekwa tu kwenye moja ya matunda?
wengine huwa wanayaweka palee kwenye bufee ili lipendezeshe bufee
 
Wana maakuli kwema?

Moja kwa moja kwenye mada, mazee kila mtu ana msosi anaopenda ambao akiukuta kwenye sherehe mambo yanakuwa byee. Nikianza na mimi, bwana sherehe bila pilau nyama na kachumbari naona kama siku kawaida, ukolezo hapo kwenye pilau nyama, sio pilau kuku au mboga nyingine yoyote!

Nisipokutana na huu msosi kwenye sherehe naona kama wamekosea siku😅😅😅... halafu utamu unaongezeka zaidi ukiliwa wengi kwenye sinia, acha kabisa mpaka mate yameanza kujaa mdomoni😂😂.

Kwenye wazee wa maakuli, chakula gani usipokikuta kwenye sherehe unaona mambo hayajakaa sawa na sherehe haijakamilika?
Maziwa.
 
Ushaambiwa "Pilau nyama rangi urembo tu"
 
Ila Kuna sherehe nilienda ety ndiz zilizokaangwa na nyama ya kuku.... Khee like what? Vyakula vingine km visiting day mashulen [emoji3][emoji3]

Nataka pilau lililokolea viungo na masotojo Mimi Mr misosii[emoji3]

Afu wadada mko na mikoba kuekea Savana [emoji3],
Umeona eeeh, sherehe bil kufinyanga pilau hainogi kabisa
 
Back
Top Bottom