Chakula gani usipokikuta kwenye sherehe unaona sherehe haijakamilika?

Chakula gani usipokikuta kwenye sherehe unaona sherehe haijakamilika?

Cup cakes duu! Ila hapo kwenye kuku nimekuelewa
Wazungu huwa wanatania sana waafrika na kusema wanapenda kuku kupitiliza. Infact ni nyama inayotumika kama symbol ya ubaguzi kwa mwafrika. Ila ni kweli. Kuku ni kila kitu kwa waafrika na ndiyo nyama ghali wakati ndiyo kama maharage ukiwa majuu.
 
Nilienda ukumbi mmoja mikoa ya baridi, vyote vilikuwapo ila wakajiongeza na upatikanaji wa kahawa na chai.

Kuna watu walafi, akunywa bia,Mara konyagi ,mara tena na kahawa...kila mziki anacheza yy.
Shughuli unaenda kuipata nyumbani muda wa kurudisha chenchi
 
Wazungu huwa wanatania sana waafrika na kusema wanapenda kuku kupitiliza. Infact ni nyama inayotumika kama symbol ya ubaguzi kwa mwafrika. Ila ni kweli. Kuku ni kila kitu kwa waafrika na ndiyo nyama ghali wakati ndiyo kama maharage ukiwa majuu.
Ila kuku wana nafasi yao mbinguni… ndege watamu hawaa
 
Ila kuku wana nafasi yao mbinguni… ndege watamu hawaa
Uzuri wa kuku hawakinaishi vibaya kama mbuzi au ng'ombe. Jaribu kula nyama ya mbuzi nyingi uone. Siku kadhaa zitakazofuata hutaki tena. BTW kuku mimi hupenda niwale na ''ngozi'' yao. Majuu wanachuna ngozi na kubakisha nyama ya ndani tu kitu ambacho kinaondoa stimu yote ya kula kuku.
 
Shughuli unaenda kuipata nyumbani muda wa kurudisha chenchi
Uvaaji wake ule wa ile suti yake, anavorukaruka kila wimbo...konyagi yeye, bia yeye, kahawa yeye , aisee yule sidhani kama alipata kadhia yyte hata alivorudi home.
 
Makande.

Sitakagi ujinga kabisa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeona eeeh, sherehe bil kufinyanga pilau hainogi kabisa
Pilau liwepo, wali kdg, roast la nyama, kuku,

Ndo watuekee sasa hizo ndiz zao za kukaanga, au chips

Kabla ya yote bia ziwepo aseeh

Kina dada waekewe savanna [emoji3][emoji119][emoji482][emoji482]
 
Pilau liwepo, wali kdg, roast la nyama, kuku,

Ndo watuekee sasa hizo ndiz zao za kukaanga, au chips

Kabla ya yote bia ziwepo aseeh

Kina dada waekewe savanna [emoji3][emoji119][emoji482][emoji482]
hahahah walevi bhana
 
Back
Top Bottom