Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kwahiyo bia ni chakula..!!kuku,bia,nyama ya mbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo bia ni chakula..!!kuku,bia,nyama ya mbuzi
ikiwepo bila pilau bado naona kuna kitu hakijatimiaKwani Kuna sherehe inakosaga nyama??
Wazungu huwa wanatania sana waafrika na kusema wanapenda kuku kupitiliza. Infact ni nyama inayotumika kama symbol ya ubaguzi kwa mwafrika. Ila ni kweli. Kuku ni kila kitu kwa waafrika na ndiyo nyama ghali wakati ndiyo kama maharage ukiwa majuu.Cup cakes duu! Ila hapo kwenye kuku nimekuelewa
Shughuli unaenda kuipata nyumbani muda wa kurudisha chenchiNilienda ukumbi mmoja mikoa ya baridi, vyote vilikuwapo ila wakajiongeza na upatikanaji wa kahawa na chai.
Kuna watu walafi, akunywa bia,Mara konyagi ,mara tena na kahawa...kila mziki anacheza yy.
Ila kuku wana nafasi yao mbinguni… ndege watamu hawaaWazungu huwa wanatania sana waafrika na kusema wanapenda kuku kupitiliza. Infact ni nyama inayotumika kama symbol ya ubaguzi kwa mwafrika. Ila ni kweli. Kuku ni kila kitu kwa waafrika na ndiyo nyama ghali wakati ndiyo kama maharage ukiwa majuu.
Uzuri wa kuku hawakinaishi vibaya kama mbuzi au ng'ombe. Jaribu kula nyama ya mbuzi nyingi uone. Siku kadhaa zitakazofuata hutaki tena. BTW kuku mimi hupenda niwale na ''ngozi'' yao. Majuu wanachuna ngozi na kubakisha nyama ya ndani tu kitu ambacho kinaondoa stimu yote ya kula kuku.Ila kuku wana nafasi yao mbinguni… ndege watamu hawaa
Uvaaji wake ule wa ile suti yake, anavorukaruka kila wimbo...konyagi yeye, bia yeye, kahawa yeye , aisee yule sidhani kama alipata kadhia yyte hata alivorudi home.Shughuli unaenda kuipata nyumbani muda wa kurudisha chenchi
Mi nyama inatosha...Ile bajeti ya mapambo yote ingekuwa inaelekezwa kwenye nyamaikiwepo bila pilau bado naona kuna kitu hakijatimia
hahahaKwahiyo bia ni chakula..!!
Pilau liwepo, wali kdg, roast la nyama, kuku,Umeona eeeh, sherehe bil kufinyanga pilau hainogi kabisa
Nyama ya kuku, mbuzii, kitimoto, ndo nyama tamu then ng'ombeIla kuku wana nafasi yao mbinguni… ndege watamu hawaa
hahahah walevi bhanaPilau liwepo, wali kdg, roast la nyama, kuku,
Ndo watuekee sasa hizo ndiz zao za kukaanga, au chips
Kabla ya yote bia ziwepo aseeh
Kina dada waekewe savanna [emoji3][emoji119][emoji482][emoji482]
Walevii wako wapi? Mkuuhahahah walevi bhana
hahaha na wine piaWalevii wako wapi? Mkuu
ziwepo na soda za wasabato, walokole
Grandmalta, redbull, kwa wale hawaend kanisan
Then msisahau..... Cocktails
Wewe km mnywajii fresh tuungane tuu....hahaha na wine pia
hahahah kabisa karibu mwanzaWewe km mnywajii fresh tuungane tuu....
Uko nako tunasaidiana ktk mengii
Asante kiongoziii.... Karibu pia dar es salaam....hahahah kabisa karibu mwanza